wana jf, naomba msaada jins ya ku connect sim na internet. nina sim yang aina ya samsung GT C3212i inanisumbua kwel ku connect internet. nashindwa kuelewa shida ipo wap, na kitu kingine kuna jamaa flani wakat nipo chuo alikuwa anafanya kazi ya kufungulia watu internet kwenye sim zao, ilikuwa ni kazi yake kabisa. sikupata nafasi ya kukaa nae na kumuuliza kama kuna software inayotumika kutokana na ubize wa hapa na pale. natumaini nitapata mtu wa kunielekeza juu ya siri iliyopo unapounganisha sim yoyote na internet unatakiwa ufanye nini.
natanguliza shukrani
natanguliza shukrani