Mobile Phone Led Israelis to Destory Pantsir-S Air Defence Battery in Syria

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,661
2,000
The Israeli military bombed and destroyed a Pantsir-S air defence system (ADS) after its Syrian operator left behind a mobile phone providing a lead to the location of the ADS, a top official of the Russian manufacturer has admitted.

Information of the Pantsir-S system’s destruction emerged in an Israeli MoD video detailing the bombing of the system last month.

Valery Slugin, the chief designer of the Design Bureau of Instrument Engineering which developed the Pantsir system, said in an January 29 interview with TASS detailed how the ADS came to be exposed itself to detection. The Pantsir-S battery had run out of missiles and had called for re-supply. The operators were waiting a little distance away from the system and one of them had left his mobile phone in the operator’s chair which was sufficient for Israeli intelligence to track the system.

The standard operating procedure for such a system is that all forms of ground communications (mobiles, radios) should be switched off during an operation and that the battery should move away from the last spot it fired a missile from, he said.
 
sjosh4

JF-Expert Member
Apr 10, 2020
903
1,000
Au unaongelea ile ya January iliyokuwa operated na Syrian.
Kama ni ile ilipigwa kwa uzembe wa operators.
Kwanza iliishiwa ammunition baada ya kudestroy almost 8 target, na ilikuwa inasubiri kulireload kutoka supply vehicle.

Pia operators walitakiwa waiamishe location, kitu ambacho hawakufanya, operators pia aliacha simu ndani,
 
BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
3,541
2,000
Lakini kiutendaji nadhani inawezekana na inaeleweka mfumo kama Pantsir kushambuliwa na kuharibiwa kama utatumia ndege. Hii ni kwa sababu huu mfumo umeumdwa kupambana na low flying sub sonic missiles kama tomahawk. Nadhani kuilaumu Pantsir kutoangusha ndege au kombora la ndege ni kuionea hii kazi inapaswa kufanywa na mifumo kama S-300PMU, S-400 nk, hizi ndizo mashine za vyuma vyote high altitude na vinavyosafiri kwa spidi kubwa kama fighters air-ground missiles na BMs ila pia hata S-300 na dada zake haziwezi kushambulia cruise missiles kutokana na ilivoundwa kufanya kazi
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,905

Hizi simu hizi mm,zina mengi.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,283
2,000
Hizi simu hizi mm,zina mengi.
Hizi simu kwa watu wenye akili ndogo ni shida.
Mfano hapa TZ unaenda kwenye wadi ya hospital kubwa ya kitaifa unakuta muuguzi yupo na simu huku wagonjwa wanamuhitaji, anaitwa mara tano na mwisho anawafokea na kuwachukia wagonjwa na ndugu zao kwa kumsumbua kiasi anakosa muda wa kusoma na kutuma jumbe kwenye mitandao ya kijamii.

Waalimu nao hali ipo hivyo hivyo na simu zao, huenda na askari wa majeshi yetu wapo hivyo hivyo.

Ifike mahali simu za mikononi zikatzwe makazini, watu waambiwe wawape ndugu zao namba za simu za mezani za ofisi zao kama kuna dhurula wapigiwe kwa namba hizo. Mbona hii iliwezekana zamani na hata sasa zipo taasisi huweka utaratibu huo.
 
Mkuu mimi nilikuwa kwenye ngazi nyingine ya kuwaza.Of course zinaweza kutumika kama ulivyo elezea.Ila nilikuwa nafikiria zaidi jinsi ilivyotumika kama daraja la kuharibu hiyo missile defence system. Kwanza niliwaza vifaa walivyotumia kufuatilia exactly hiyo location,while being directed by the phone mpaka kufanikiwa kuilipua hiyo missile system!Ndio maana nikasema ndani ya simu tunazotumia kuna mambo.I strongly believe ni vitu hatari sana,sana,sana.
 
Sawa mkuu.
Simu ni kama umebeba kifaa kinachotoa mwanga na sauti wakati unajificha usionekane na adui.
Tracking device ya uhakika kabisa, kumbuka waisrael wana kanzidata ya watu wote muhimu wanao wafuatilia hivyo walikuwa na orodha ya majina ya askari wote wanao tumia huo mtambo na namba zao za simu na taarifa muhimu za utambulisho wa device(simu) wanazo tumia.

Usikute huyo bwege alishajipiga picha kwenye mtambo na kurusha kwenye makundi ya mitandao ya kijamii au kwa nduguze n.k.
Sasa hizi simu zetu za kulazimisha utumie email kuiwezesha kuweka apps mbalimbali ni kama tunawapa taarifa zetu zote muhimu. Google ndio mbaya sana kwa kuchukua taarifa zetu na kuzipeleka kunako husika iwe kwa makusudi aua kwa udhaifu wa mifumo yao.
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,905
2,000
Sawa mkuu.
Simu ni kama umebeba kifaa kinachotoa mwanga na sauti wakati unajificha usionekane na adui.
Tracking device ya uhakika kabisa, kumbuka waisrael wana kanzidata ya watu wote muhimu wanao wafuatilia hivyo walikuwa na orodha ya majina ya askari wote wanao tumia huo mtambo na namba zao za simu na taarifa muhimu za utambulisho wa device(simu) wanazo tumia.

Usikute huyo bwege alishajipiga picha kwenye mtambo na kurusha kwenye makundi ya mitandao ya kijamii au kwa nduguze n.k.
Sasa hizi simu zetu za kulazimisha utumie emaio kuiwezesha kuweka apps mbalimbali ni kama tunawapa taarifa zetu zote muhimu. Google ndio mbaya sana kwa kuchukua taarifa zetu na kuzipeleka kunako husika iwe kwa makusudi aua kwa udhaifu wa mifumo yao.
Jamaa alikuwa mjinga sana aisee dah!
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,823
2,000
The Israeli military bombed and destroyed a Pantsir-S air defence system (ADS) after its Syrian operator left behind a mobile phone providing a lead to the location of the ADS, a top official of the Russian manufacturer has admitted.

Information of the Pantsir-S system’s destruction emerged in an Israeli MoD video detailing the bombing of the system last month.

Valery Slugin, the chief designer of the Design Bureau of Instrument Engineering which developed the Pantsir system, said in an January 29 interview with TASS detailed how the ADS came to be exposed itself to detection. The Pantsir-S battery had run out of missiles and had called for re-supply. The operators were waiting a little distance away from the system and one of them had left his mobile phone in the operator’s chair which was sufficient for Israeli intelligence to track the system.

The standard operating procedure for such a system is that all forms of ground communications (mobiles, radios) should be switched off during an operation and that the battery should move away from the last spot it fired a missile from, he said.

This is purely Mickey Mouse stories, first of all Syrian Military are not all that NAIVE to bring cell phones near mobile air defense systems like a no nonsense Pantsir/1/2 - the whole story was manufactured by Israel and US military propaganda machine for political reason,namely:fool the World that the west has finally got better of a very sophisticated mobile air defense system in the World which used to scare a living daylights out of Israel and USA military flying machines.

Just imagine the publicity stunt from western main stream media,Israel and US Air forces rejoicing like small children - the day Israel destroyed Pantsir-1 which was parked and not operating/out of order,even all crews/operators were seen outside the truck relaxing, Pantsir canons,missiles lauchers were at home position not pointing skywise, even scanning radar was not rotating/spinning this is a clear evidence that Pantsir was already dead when it was hit by Israels fighter plane's Air to Ground Missiles,repeat Israel wouldn't have dared attacking an active/operating Pantsir - never.

To drive my poit home, just ask yourselve a very simple question,namely:To this date Syrian Military gotta about 50 Pantsir-1 mobile air defense, of these how many have been destroyed completly or partially by Israel or NATO specifically USAF- just one which was switched off/not active - There you are, what does that tell you about omni potential of formidable Pantsir stuff.
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,823
2,000
Mkuu mimi nilikuwa kwenye ngazi nyingine ya kuwaza.Of course zinaweza kutumika kama ulivyo elezea.Ila nilikuwa nafikiria zaidi jinsi ilivyotumika kama daraja la kuharibu hiyo missile defence system. Kwanza niliwaza vifaa walivyotumia kufuatilia exactly hiyo location,while being directed by the phone mpaka kufanikiwa kuilipua hiyo missile system!Ndio maana nikasema ndani ya simu tunazotumia kuna mambo.I strongly believe ni vitu hatari sana,sana,sana.

Habari nyingine tusizi amani sana, hivi inaingia akilini kwamba jeshi la Syria linaweza kufanya uzembe wa kuwa ruhusu wanajeshi wao kutumia/beba cell phones wakiwa ndani au nje ya mobile air defense battery kama Pantsir-1/2 hii haingii akilini hata kidogo na wala ma commander wa jeshi la Syria si wajinga kiasi hicho.

Ninacho weza kusema ni kwamba: Ndege za jeshi la Israel au drones zao baada ya kufanya upelelezi wa anga wakaguduwa kwamba Pantsir-1 haiwa-track kuchuguza zaidi wakaona canon na missiles launchers zimelala tu not pointing skywise na ma operator wa Pantsir-1 walikuwa nje ya truck wamepumzika - hivyo jeshi la anga la Isreal wakawa na uhakika kwamba Pantsir hiko switched off aidha kwa kuishiwa ammumitions au mbovu, ndio maana ilishaubuliwa kirahisi - haya mambo ya kusema kwamba eti operators walisahau cell phone kwenye truck, hizo ni adithi za kufikirika hazina ukweli wowote - it was lucky shot, that is all, after all Syrian Millitary gotta 50+ Pantsir-1 why Israel and the west are overly joyful for destroying an already dead Pantsir why not attempt to destroy an active Pantsir-1?
 
Kwahiyo hata wewe pia, habari yako tusiiamini!?
 
Inshort iliishiwa ammunition baada ya kudestroy almost 8 target na walikuwa wanasubiri supply vehicle, ila wakati wanasubiri, walitakiwa wahamishe position sababu ile ni mobile ika hawakufanya hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom