Isayasitemanager
Member
- Nov 23, 2017
- 47
- 40
Naomba kuuliza jinsi ya kuitrack simu nyingine kwa kutumia simu yangu, hii kitu inakuaje unafanyaje na app ip nzuri? Ebu wataalamu tupeni maujanja.
Unatafta matatizo ya pressure wakati wenzako wanayakimbia ahauli yakoNaomba kuuliza jinsi ya kuitrack simu nyingine kwa kutumia simu yangu, hii kitu inakuaje unafanyaje na app ip nzuri? Ebu wataalamu tupeni maujanja.