Mobile application

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
0
Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald ....; Helow Juma.... Inaweza kutumika na watu au kampuni tofauti, mf kama mamlaka ya maji kuwaremind wateja kulipa bili,kuwakumbusha madeni yao nk, au katika mashule kutuma matokeo ya wanafunzi kwa wazazi through their mobile phones, kwa ufupi inatumika kufikisha ujumbe wowote kwa watu wengi,ni software ambayo unainstall ktk computer. Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kupitia 0717767360, au gedmputi1987@yahoo.com

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
77
95
Tuoneshe bac kaka!Nipe japo mwanga mpaka ukaimaliza kaka,if you dont mind!!language gani umetumia!!!

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
988
0
acha download link hapo 2pakue sie! C unaacha namba ya cm huku c mahala pake!

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
0
acha download link hapo 2pakue sie! C unaacha namba ya cm huku c mahala pake!

Got u kaka, bt nikiweka link still bado utatakiwa nikucreatie acc yenye password na user name ili uweze kui2mia.

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
988
0
@mputi why dont u make it easy for us mkuu...ondoa hzo restriction..

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,317
1,225
@mputi why dont u make it easy for us mkuu...ondoa hzo restriction..

mtoto wa kike kaponzwa na bia kilichomkuta..mtoto wa kiume kadandia bia kashika ukuta...oya oya kaa ukijua...(ACHA KUPENDA VYA BURE BRO!).

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
0
Brothers what i mean here is a biznez,waweza tafuta company or organization ambayo inaweza kuhitaj ishu kama hii then from that u can get money frm each sms they buy kulingana na makubaliano yetu, siyo ishu ndogo brothers, we did the same thing kwa TUWASA (Mamlaka ya maji Tanga)

Mputi

Member
Sep 9, 2011
52
0
Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald ....; Helow Juma.... Inaweza kutumika na watu au kampuni tofauti, mf kama mamlaka ya maji kuwaremind wateja kulipa bili,kuwakumbusha madeni yao nk, au katika mashule kutuma matokeo ya wanafunzi kwa wazazi through their mobile phones, kwa ufupi inatumika kufikisha ujumbe wowote kwa watu wengi,ni software ambayo unainstall ktk computer. Kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kupitia 0717767360, au gedmputi1987@yahoo.com

Brothers, What i mean here is a biznez, waweza tafuta Company or any Organization ambayo inahitaj application kama hii then unapata hela kutoka kwenye kila sms watakayo nunua, siyo ishu ndogo, we did the same thing kwa TUWASA (Mamlaka ya Maji TANGA)

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom