mobile antivirus

Vangiporini

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
310
217
wadau me matumia nokia 5130 xprss msk,then kila nnapodownl antivirus inakuw katika fomat ya SIS,na inakataa kufunguka et file format unknwn.plz pigen vichw hapa mwenzenu npone!
 
Mkuu wewe ingia wapka.mobi halafu search antivirus utaletewa kibao chagua utakayo mimi nimepata ya simu yangu.Fanya hivo mkuu.
 
wadau me matumia nokia 5130 xprss msk,then kila nnapodownl antivirus inakuw katika fomat ya SIS,na inakataa kufunguka et file format unknwn.plz pigen vichw hapa mwenzenu npone!

Kaka cm yko ina run java apps so huwez chukua file la SIS coz cm yko sio symbian..symbian ndo inauwezo wa ku run SIS. Bt java hakuna antvirus zte bobish hazifany kaz.
 
mchina wangu angekuwa na uwezo wa kudownload ningejaribu
 
Nasikia kuna simu model zingine hazina haja ya kuweka antivirus. Hili liko vipi jamani?
 
Kuna jamaa namjua ana ka-nokia kake 2710, karibu kila siku yuko nako online na hajaweka antivirus. Hakatamfia kweli?
 
Kama ni kanokia 2710 huwa Hazianaga noma kabisa, mimi napiga kazi nayo sasa mwaka wa pili niko nako online bila antivirus, mpaka nimeamua kuipaki.
 
Nasikia kuna simu model zingine hazina haja ya kuweka antivirus. Hili liko vipi jamani?

kuna ki2 km hk java phone rn't affectd by virus kama unless uweke memory card ambayo inavirus ambao wk strong kama trojan horse tho sometimes,,ukiwaunaflash cm unaweza kuflash na infectd program afu cm ikawaka lakn ikaleta shida!xo as 2 my 4n knowledge symbian,windows mobile platforms ndo zinashida na virus eg NSERIES,ESERIES,BLACKBERRY,ANDROID AND MANY MORE.
 
Kuna jamaa namjua ana ka-nokia kake 2710, karibu kila siku yuko nako online na hajaweka antivirus. Hakatamfia kweli?

nat @ ol broda!cm zinapishana uwezo kuna cm kama 3100c zinauwezo mdogo kwny internet ambapo unaweza ingia online muda mrefu afu inajizima yenyewe ambapo cm yny uwezo km 6700c hata ukae toka asubuh mpk jioni haina shida!so uwezo/nguvu ya cm,kumbuka ha2angalii kwamba ina2mia MMC,au ina megapxls ngapi.
 
Back
Top Bottom