Vangiporini
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 310
- 217
wadau me matumia nokia 5130 xprss msk,then kila nnapodownl antivirus inakuw katika fomat ya SIS,na inakataa kufunguka et file format unknwn.plz pigen vichw hapa mwenzenu npone!
wadau me matumia nokia 5130 xprss msk,then kila nnapodownl antivirus inakuw katika fomat ya SIS,na inakataa kufunguka et file format unknwn.plz pigen vichw hapa mwenzenu npone!
dah,wakuu inaniuma kusikia 4n yng sio symbian
Nasikia kuna simu model zingine hazina haja ya kuweka antivirus. Hili liko vipi jamani?
Kuna jamaa namjua ana ka-nokia kake 2710, karibu kila siku yuko nako online na hajaweka antivirus. Hakatamfia kweli?