Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,853
Jamaa kafanya jambo kubwa sana huko kwao.
---
1660911774523.png

Egyptian Liverpool forward Mohamed Salah has donated three million Egyptian pounds ($156,664) to help rebuild a church in Giza where a fire on Sunday killed 41 people and left several others injured.

Social media channels in Egypt were full of messages of gratitude to the footballer beloved by millions.

The donation was confirmed by prominent Egyptian sports reporter Ibrahim Abdel Gawad, who joined many others in thanking Salah in a Facebook post.

These included renowned cardiologist Dr Gamal Shaban, whose post, which was shared by thousands, included a part addressed to business mogul Naguib Sawiris.

Mr Sawiris, one of the country’s most high-profile Copts, has come under fire since Sunday for a tweet he made in the aftermath of the Abu Seifein Church fire, which strongly suggested that the blaze was not an accident and said he would not offer condolences until the culprit was established.

“You want to know the culprit? You are the real culprit. For neglecting your charity work, not taking care of the poor and only really investing in film festivals,” Dr Shaban wrote on Facebook, “Mohamed Salah donated 3 million to the church, how much have you donated?”

A number of other social media users expressed similar sentiments, prompting a response from him, which he made on Twitter to a user named Azza, to whom he wrote, “I don’t make public my donations, Azza.”

Salah was in June ranked by UK newspaper The Sunday Times as the eighth most charitable person in Britain. The player had in 2019 donated $3 million to Egypt’s National Cancer Institute after a terrorist attack that killed 20 and injured dozens.

He gave 12 million Egyptian pounds' worth of equipment to a prominent children’s cancer hospital in Egypt.

Salah was also photographed in Liverpool in 2020 during the Covid-19 pandemic paying for some of his fans’ fuel.

Source: thenationalnews.com
 
Mbona Misri wakristo wanaishi kwa bata sana kitambo tu sio kama nchi nyingine za wavaa kobazi ndio maana Mungu anawabariki sana hakuna sheria zile za kuumizana umizana na ndio maana wananchi wake wapo open minded.

Misri unaweza ukatembea siku nzima unaweza kuona watu wachache tu wamevaa makanzu sio kama nchi nyingine za kiarabu
 
Huyo halafu kwao hela zipo hachezeu mpira shida,mwenyewe anakwambia bila mpira angekuwa anacheza playstation tu ndani halafu jioni anaenda kukagua visima vya mafuta vya baba yake
Weka video anayosema hivyo. Nani kakwambia hachezi ili apate pesa, hakuna mtu anayependa kucheza kwa mbinde na jasho kiasi kile mpaka anavunjika miguu eti hachezei shida
 
Weka video anayosema hivyo. Nani kakwambia hachezi ili apate pesa, hakuna mtu anayependa kucheza kwa mbinde na jasho kiasi kile mpaka anavunjika miguu eti hachezei shida
Yaan mimi ndio nkutafutie video wakati hili suala kila mtu anayefuatilia michezo analijua, hiyo si kazi yangu umeshapewa taarifa then tafuta maarifa mtandaoni hatupo hapa kwa ajili ya ubishi hili suala aliliongea miaka mingi iliyopita nadhani akiwa Chelsea enzi hizo nahisi bado ulikuwa mpwayungu.

Kuhusu kauli yako ya hakuna mtu anayependa kucheza mpira for fun only for the sake of money nakuletea huyu anaitwa Faiq Bolkiah mtoto wa mwana mfalme wa Brunei ana utajiri wa zaidi ya billioni 20 dollar(Dangote hatii mguu) lakini anateseka viwanjani huko Thailand kwa sasa na hajawahi kuwa maskini yeye na ukoo wake wote tangu azaliwe pia amewahi kuwa Chelsea na Leicester city,kwahyo inawezekana tu wenzetu mpira ni fantasy sio njaa
 
Mbona Misri wakristo wanaishi kwa bata sana kitambo tu sio kama nchi nyingine za wavaa kobazi ndio maana Mungu anawabariki sana hakuna sheria zile za kuumizana umizana na ndio maana wananchi wake wapo open minded..Misri unaweza ukatembea siku nzima unaweza kuona watu wachache tu wamevaa makanzu sio kama nchi nyingine za kiarabu
Mzee acha chuki za kipuuzi, huko misri ndio chama cha kiislam kilishinda uchaguzi
 
Mzee acha chuki za kipuuzi, huko misri ndio chama cha kiislam kilishinda uchaguzi
Waislamu wametajwa wapi mzee mbona mna mihemko ya kijinga!!??,basi ngoja niwataje waislamu asilimia 90 ya wamisri ni waislamu lakini minority asilimia 10 zilizobaki hawaishi kwa mashaka kama sehemu nyingine zenye waislamu.

Somalia basi linatekwa mnaambiwa usome kulur allahu tatu ukishindwa ni za kichwa,Nigeria makanisa daily yanachomwa moto.

Zanzibar kipindi cha Ramadhani ni marufuku kufungua mgahawa mchana kitu ambacho ni tofauti na Misri thus why nasema wananchi wa kule wapo open minded
 
anawabariki Sana kwa kipi?
Mbona Misri wakristo wanaishi kwa bata sana kitambo tu sio kama nchi nyingine za wavaa kobazi ndio maana Mungu anawabariki sana hakuna sheria zile za kuumizana umizana na ndio maana wananchi wake wapo open minded..Misri unaweza ukatembea siku nzima unaweza kuona watu wachache tu wamevaa makanzu sio kama nchi nyingine za kiarabu
 
Back
Top Bottom