Mo Safi Mafuta ya kula rahisi kuibiwa na kila mtu, TBS mko wapi?

Wazaramo husema "nyumba inayojengwa karibu na njia hukosolewa na kila mtu"

Hata wasio na ujuzi wa kupima viwango vya bidhaa nao wanakosoa
Hata mafuta yaliyomo kwenye ndoo za lita kumi kama Sundrop hufunguliwa kwa kubangua mfuniko na kupunguza ujazo au kuweka mafuta mengine tofauti. Kwa ujumla mafuta yote vifungashio having ubora na TBS hawana muda wa kusimamia viwango. Unajua viwango vya mikate havistahili kuwepo kwani hakuna mkate kwenye ubora wa kuitwa mkate, jambo hili pia linahusu ubora wa vifungashio vya maji ambavyo hubanguliwa kirahisi na kuwekwa maji yasiyofaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazaramo husema "nyumba inayojengwa karibu na njia hukosolewa na kila mtu"
Hata wasio na ujuzi wa kupima viwango vya bidhaa nao wanakosoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa mnunuzi wa mafuta kwenye ndoo za lita kumi ungeliona hili na upo ushahidi. Pia maji ya chupa yanayouzwa barabarani na wamachinga mengi yamechakachuliwa. Mikate ndiyo usiseme mingi haina ubora licha ya kupitishwa na TBS!
 
Mooo mnamlisha hasara huko simba anataka aje afidishie kwetu kwa bidhaa za low quality


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Habari wana jamvi? Rejea kichwa cha uzi juu hapo.

Kwanza kabisa nampongeza kijana mwenetu kwa bidii katika kazi aliachiwa na babake, Mo anakuja vizuri sana katika kila bidhaa kiasi kwamba Azam anaweza kuomva poo muda wowote,amejipatia sifa kutokaba na kuboresha vile vilivyopo sokoni na hata kuviongezea ujazo zaidi. Shida imekuja tu hapa.
Kwa wale ambao tayari wamenunua au kuona kifungashio cha mafuta ya Mo safi washaona hili tatizo, kwanza sokoni ndio mafuta ya mwisho kuuzwa (yananunuliwa baada ya mengine kuisha)
View attachment 1071959
Mifuniko ya mafuta haya tunaweza kusema hayana seal, mtu anaweza kufungua akapunguza, akachanganya na kitu kingine na kufunga upya bila kujulikana. View attachment 1071960
Mamlaka zinazohusika sijui kwanini hawaoni hatari hii. View attachment 1071962
Vipi mtu akifungua na kuweka sumu, atauwa wangapi?

FAIDA KWA MO YA KUDHIBITI JAMBO
Vipi mpinzani wake kibiashara anaamua kutumia njia hiyo kuchezea rafu? Serikali haijapiga marufuku hayo mafuta? Mambo mengine tusiangalie urahisi tu, angalia na jamii pia.
Hata Yale ya vindoo vya lita 10 wauzaji wasio waaminifu hupunguza na kutu uzia lita 7au 8
 
Ungekuwa mnunuzi wa mafuta kwenye ndoo za lita kumi ungeliona hili na upo ushahidi. Pia maji ya chupa yanayouzwa barabarani na wamachinga mengi yamechakachuliwa. Mikate ndiyo usiseme mingi haina ubora licha ya kupitishwa na TBS!
Asante mkuu... huyu infinix sijamuelewa, Hata kama ananunua mafuta ya vibaba kwan haoni kwa wengine
 
Hiko kifungashio ni dumu la mafuta ya Lita ishirini? Naomba kujulishwa niepuke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifungashio ni dumu L 20 lakini naona wadau wanadai hata ya ndoo ni hivyo hivyo
IMG_20190416_090801.jpeg
 
M
Mkuu hayo maji ndo usiyaamini KABISAA Mengine huwa machungu na Yana nuka Moshi wa kuni!!!!
Nadhani ktk maji chupa 100 makosa yatakua chupa 5 tu ila mengine 95 yote yatakua sawa...Hapa hatuongelei ubovu maana Hamna kitu perfect ila tunaongelea YAPI yenye kiwango kidogo cha Mistake? kwa mimi nadhani K njaro ktk makosa wanajitahidi.
 
Back
Top Bottom