Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

Kweli kabisa ule uwanja haufai kuchezea ligi kuu
Kabsa kuna viwanja havifai kile kimoja wapo pasi zinaenda nje ya mipango ya wachezaji na mpira una simama simama kila mara kutengeneza vibendera hii ligi.kuu inachangamoto.za kindondo cup.
 
Sawa mwanzo mgumu na pia ujue ushindani mwaka huu utaongezeka hivyo tuwe na subira kwa maana kila.kizuri ni.mipango.na changamoto kama za leo. Japo kwangu mimi.leo.walicheza vzr.
Hapo sawa. Ila sio kuzingia uwanja wakati msimu uliopita Simba imecheza kwenye viwanja hivi hivi maana viwanja vizuri Tanzania ni vya kuhesabika lakini Simba walipata matokeo
 
Hapo sawa. Ila sio kuzingia uwanja wakati msimu uliopita Simba imecheza kwenye viwanja hivi hivi maana viwanja vizuri Tanzania ni vya kuhesabika lakini Simba walipata matokeo
Biashara wamejutahidi kuonesha uwezo japo uwanja ulitunyima kuona utamu wa mchezo wa leo. Ule uwanja ufungiwe tu aisee hatari saana uwanja ule
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Na.nature ya uwanja imeua mipango.ya kocha na wachezaji kwa ujumla
Duh,Mugalu hakukosea kuwaita Wanafiki. So ndio nyie msimu uliopita mlikuwa mnasema biriani linapikwa popote pale.

leo hii mnasingizia Viwanja na mbaya zaidi almost Viwanja vyote vya Mkoani vinafanana ndio kusema kuwa mtashinda match zenu kwa Mkapa, Kagera na Azam sio?
 
Duh,Mugalu hakukosea kuwaita Wanafiki. So ndio nyie msimu uliopita mlikuwa mnasema biriani linapikwa popote pale,leo hii mnasingizia Viwanja na mbaya zaidi almost Viwanja vyote vya Mkoani vinafanana ndio kusema kuwa mtashinda match zenu kwa Mkapa, Kagera na Azam sio?
Hata msimu uliopita kiongozi kuna mechi viwanja viliharibu mpira na watu walilisemea kaka. Turudi na.kusimamia ukweli uwanja haukuwa rafiki na kwa mugalu mimi.sijamponda kutokana na hali.ya.juzi.maana imetokea hivyo.

kikubwa ni.timu kujitadhimini.ziadi.na kufanyia.kazi mapungufu yaweze kurekebishika na timu isimame vzr katika kutafuta matokeo popote pale na.

Hawaja fungwa leo japo.hawajafunga nao.sio.mbaya pia baishara wapo.vzr ndio.mpira
 
Mechi ya kwanza ya ligi kama ndio bingwa anapatikana kwa kushinda hiyo apewe kombe.
Mbeya kwanza wameshinda jana.ugenini je tuseme ni bora kuliko mtibwa..? Bado.mapema au costal union ni bora kuliko azam bado ni.mapema saana
 
Mbeya kwanza wameshinda jana.ugenini je tuseme ni bora kuliko mtibwa..? Bado.mapema au costal union ni bora kuliko azam bado ni.mapema saana
Labda mbeya kwanza jina ndo linakuchanganya lakini ni timu yenye wachezaji wazoefu sana na kama uliangalia mpira wa jana mtibwa hakucheza vizuri kabisa.
 
Ila mashabiki wa Tanzania tuna dunia yetu kwa hyo we unaona tungemsajili juma na aucho tungefika final caf champion's league
 
Gari likiwaka.mtaanza kusifia hakuna kitu utafanya kila.siku wewe ushinde wewe tu haaahhhh. Tujifunze kuwa na subira. Katika imani subira ni tiba. Simba haija anza vibaya hii ligi imeanza vzr na uwanja umewaharibia plan zao leo.
League ni jinsi unavyomaliza sio unavyoanza. Yanga mwaka jana waliongoza almost 90% ya msimu wa 20/21 lakini Ubingwa ulienda Msimbazi
 
League ni jinsi unavyomaliza sio unavyoanza. Yanga mwaka jana waliongoza almost 90% ya msimu wa 20/21 lakini Ubingwa ulienda Msimbazi
Mwaka jana game mbili za mwanzo tulianza vibya kwa kuooteza zote na tukabeba ubingwa
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Back
Top Bottom