MO Ibrahim says "no winner for the African leader Prize"

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
There is no winner this year for the world's most valuable individual prize - the Mo Ibrahim prize for good governance in Africa.

The $5m (£3.2m) prize is supposed to be awarded each year to a democratically elected leader who governed well, raised living standards and then voluntarily left office.

The panel said no candidate had met all of the criteria - as in 2009 and 2010.

Last year, Cape Verde President Pedro Verona Pires won the prize.
Source:BBC

He led the fight against Portuguese colonialism, introduced multi-party politics and was praised for living standards.

The $5m prize is spread over 10 years and is followed by $200,000 a year for life.

'No compromise'

Announcing the decision, Mr Ibrahim said: "You make your bed, you have to lie on it. If we said we're going to have a prize for exceptional leadership, we have to stick to that. We are not going to compromise."

"We are not just in the business of positive messages - we would lose our credibility," the AFP news agency quotes him as saying.

"The prize committee reviewed a number of candidates but none met all of the criteria needed to win the prize," said committee member Salim Ahmed Salim.

The two other winners in the six years since the prize was launched were Botswana's President Festus Mogae and Mozambique's Joaquim Chissano.

Earlier this month, Mr Ibrahim's foundation announced a special $1m award to Archbishop Desmond Tutu for "speaking truth to power".

The London-based body called the cleric "one of Africa's great voices for justice, freedom, democracy and responsible, responsive government".

Sudan-born telecoms entrepreneur Mr Ibrahim says the good governance prize is needed because many leaders of sub-Saharan African countries come from poor backgrounds and are tempted to hang on to power for fear that poverty awaits them when they leave office.
 
Hakuna kitu nachukia sana kama hiyo hongo in form of zawadi anayotoa huyo jamaa. Anaweka ma-inbvestment anachuma weeeeeee then akishapata anakupa kama zawadi wakati hayo mapesa angeweza kuwapatia wananchi! Yani umpe dols milioni 5 president anayepokea zaidi ya milioni 200 kwa mwezi. Nachoona hiyo pesa huwapatia maraisi waliochuma nae!!! Akae na mapesa yake, alikuja na celtel, akachuma kwa mitambo ya TTCL akauza, mwizi tu naye!!!
 
Nikisikia Mo nataka hata kutapika kwa jinsi alivyoifilisi TTCL na kuanzisha Celtel baada ya ulaghai na ufisadi mkubwa akajitenga na kuiacha TTCL mpaka leo ikisuasua
 
kafulia tayari. Afanye iwe taasisi na matajiri wengine kama bakhresa wachangie sio peke yake. Hatoweza. Au kama vipi mwambieni ani pm.
 
Hakuna kitu nachukia sana
kama hiyo hongo in form of zawadi anayotoa huyo jamaa. Anaweka
ma-inbvestment anachuma weeeeeee then akishapata anakupa kama zawadi
wakati hayo mapesa angeweza kuwapatia wananchi! Yani umpe dols milioni 5
president anayepokea zaidi ya milioni 200 kwa mwezi. Nachoona hiyo pesa
huwapatia maraisi waliochuma nae!!! Akae na mapesa yake, alikuja na
celtel, akachuma kwa mitambo ya TTCL akauza, mwizi tu naye!!!

kama kuna "consistency" kwenye kauli yako, je baada ya kuchuma TTCL, amempatia Ben "zawadi" hiyo ya hayo madola? open your mind mkuu, anachofanya huyu Mo ni kama afanyacho Gates, ni moyo na roho nzuri, usiwe na akili mgando kama nape....
 
kafulia tayari.
Afanye iwe taasisi na matajiri wengine kama bakhresa wachangie sio peke
yake. Hatoweza. Au kama vipi mwambieni ani pm.

unajua utajili wake? unajua mwezi uliopita ame secure dili la dola ngapi? yeye amesema kwa vigezo vilivyopo hakuna rais anayestahili zawadi. ulitaka apewe mkapa? moi?
 
Nahisi Africa ya Mashariki hii zawadi ya MO Ibrahim ni kitendawili bado!
 
Back
Top Bottom