MO Ibrahim Governance Index Ranks Tanzania 15th in Africa

inatia moyo na matumaini ya maendeleo kwa nchi yetu, hivyo hongera serikali yetu uzi huo huo na sisi tuko pamoja nanyi! Sio tuongoze afrika mashariki tu bali tunataka tuongoze bara lote la afrika!

Fungua macho uone kijana, never judge the book by its cover!
 
haya ndiyo tunayotaka kusikia!! tangu nijiunge juzi katika jf kwa kweli nilikuwa naogopa kuchangia maana utafikiri kuna vita hapa!! oo tuta mwaga damu, oo sijui nini!! sasa mpaka serikali yetu inasifiwa na kuongoza kwa utawala bora kwanini sisi wananchi tusiisifu?

Woga wako ni kutojiamini kwako, Hiyo serikali kusifiwa umeiona wapi au list ndo imekueleza hivyo? Soma vizuri mada mama ndo uweze kuidadavua vizuri!
 
hongera utawala wa jakaya mrisho kikwete kwa kushinda tuzo la mo ibrahim 2010!! Habari zaidi gonga hapa:
the ibrahim index scores & rankings*»*mo ibrahim foundation
kwa kushinda!???
Mimi ccm damu lakini kwa hili hapana kwakushinda???
Kivipi ameshinda nini kuwa wa 15 umeshinda??? Duuuu hata ninawasiwasi na ninyi sioni haja yakujisifia kwa hilo bwana! Labda raisi awe riz 1!! YAAANI MI NAONA MAKSI ZOTE KAMA NIMAKALAI (YAANI C) HAKUNA HATA A,B+ AU B.
 
Soma na uelewe:

Ranked 15th in the continent, Tanzania is the best governed country in EAC, followed by Uganda (24), Kenya (27), Rwanda (31) and Burundi (32), the Mo Ibrahim 2010 Index country rankings.
Nani anayehitajika kuelewa? Umesoma title au umekurupuka?
 
inatia moyo na matumaini ya maendeleo kwa nchi yetu, hivyo hongera serikali yetu uzi huo huo na sisi tuko pamoja nanyi! Sio tuongoze afrika mashariki tu bali tunataka tuongoze bara lote la afrika!

Huyo Ibrahimu mwenyewe ndilo fisadi la kutupwa linalojitahidi kuhongo na kuua makampuni mama ya simu katika africa .
 
Uchumi upi? basi hakuna kitu kama uchumi kama Tanzania imeshinda. Bado nina maswali yangu hayajajibiwa:
Makamba kwa nini alifukuzwa ualimu na nani anajua elimu yake maana matamshi na mwenendo wake nina shaka kama hata la nane alilimaliza.
Je, Kikwete tangu awe kiongozi (1974) amewafanyia nini wanakijiji anakotoaka achilia mbali wilaya yake? Nasikia madarasa ya shule anakotoka ni ya udongo na hakuna viti? Je, mnatarajia nini atufanyie kama Watz maana hakuna la maana analolifanya sana sana anajenga kijiji nyumbani kwake. Ukiangalia kwa haraka nenda pale morroco amewanunua majirani zake sijui ndo pesa ya EPA ama njia nyingine za wizi.
Swali la mwisho, kwa nini generation ya kikwete, Lowasa, Sita, Mkapa ni kama ni ya wizi wizi kuna nini???? Mwisho hatuwezi kuwaondoa nchini, Rostam, Rage na Kinana kama wanataka uongozi warudi kwao Somalia waongoze wauaji wenzanzao!! Rostam arudi Iran wamkaange.
 
By Dominic Nkolimwa
5th October 2010



Tanzania's 15th ranking among the 53 African countries in the 2010 Mo Ibrahim index, has drawn mixed reaction, with some of the people praising the development while others criticised it.


A cross section of people comprising politicians, academicians and ordinary people said the country deserved the rank, while disputed the rank alleging that the criteria being used is unknown.

Dr Benson Bana from University of Dar es Salaam supported the ranking saying it was a positive move, regardless of the fact that Tanzania was among the poor countries compared to other African countries.
“We can not ignore this success. Rather more efforts are needed to ensure next year we perform better that now,” the don.

CCM general secretary Yusuph Makamba said, he would not be surprised to hear some politicians from the opposition side disputing the ranking Tanzania has gained. “We have done a lot of good things. We have constructed roads and schools but still the same people complain that there are no schools. To me the rank is a great success and we should build on it,” said Makamba.

Prof. Abdallah Safari said Tanzania did not deserve the ranking due to various issues including lack of true democracy.

He also said there is no proper implementation of human rights and that people were living in very poor condition.

“Corruption now is higher compared to the time when Tanzania got independence,” he said.
In terms of free and fair electoral commissions, Prof Safari said only Kenya, Ghana and South African had such commissions.

Dr Sengondo Mvungi, a senior lecturer at the school of law at UDSM said Tanzania did not deserve the rank citing lack of true democracy.

He said the constitution has been limiting the power of courts to correct laws which violate human rights.

“In section 30 (5), the Tanzania constitutions restrict courts in correcting anything from the constitutions even if it negatively affects human rights,” said Dr Mvungi.

… “How can you say that you have good governance and true democracy, while candidates are not given funds to facilitate election campaigns? Worse still the government has enacted a law to restrict the expenses during elections while candidates have no money,” added Dr. Mvungi.

In 2006/2007 Tanzanian ranked 16th and its index was 54.5, dropping to 17 in 2007/2008 with the index of 54.7. In 2008/2009 it was ranked 15th, a position it retained this year.

In the 2010 Ibrahim Index of African Governance Tanzania scored 54 for governance quality and was ranked 15th out of 53 countries.

The country has also scored higher than the regional average for East Africa which was 45 and the continental average which was 49. At sub-category level, Tanzania's highest rank was in Gender and lowest in Education.

“This is a striking difference as Tanzania ranked in the top ten for Gender while falling in the bottom ten for Education,” said part of the statement from Mo Ibrahim Foundation.

Commenting on the results, Salim Ahmed Salim, Board Member of the Foundation and former Secretary-General of the Organisation of African Unity said: 'We must ensure that the political side of governance in Africa is not neglected. We have seen from evidence and experience across the world that discrepancies between political governance and economic management are unsustainable in the long term. If Africa is going to continue to make progress we need to pay attention to the rights and safety of citizens.”

The Ibrahim Index of African Governance was created in recognition of the need for a robust, comprehensive and quantifiable tool for citizens and governments to track governance performance in Africa. The Ibrahim Index continues to be improved each year as part of the Foundation's commitment to ensure it is a living and progressive tool, the statement said.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
Wewe mkimbizi wa umaskini, rudi kwenu. Lazima wakenya wapigwe ngumi, hatuwahitaji kwetu hapa! nyambaf kabisa! We have all the necessary skills to turn trhis country around! wapuuzi kabisa! Hilo shimo lako unauzia wapi hapa Dar?

Why are you so bitter? Why cant we discuss issues without abusing each other? Kenyans in Jamiiforum are not going anywhere, we'll always be here, you found me here and you'll leave us here.. Kenyans in Tanzania are not going anywhere, not unless the massive land and resources disappear overnight. Punguza matusi ndugu yangu, coz the abuses wount change anything, they only make the situation worse. Na kuinbox saa hizi nikueleze nilipo uje unipige ngumi, labda utabadili maoni yako kutuhusu, hatuna ubaya nanyi.
 
..haya ni matumizi mabaya ya utafiti na data.

..hebu tulinganishe Kenya na Tanzania.

..Kenya wanapewa elimu bure mpaka chuo kikuu.

..Kenya wana miundombinu bora kuliko Tanzania.

..Kenya wanazalisha viwandani kuliko Tanzania.

..Kenya wanajitegemea zaidi kibajeti kuliko Tanzania.

..Kenya wanapokea watalii wengi lakini wana vivutio vichache kuliko Tanzania.

..sasa imekuwaje utafiti uje na conclusion kwamba Tanzania kuna uongozi na uchumi bora kuliko Kenya?

..labda tafsiri sahihi ni kwamba Watanzania wameridhika na uongozi wa hovyo-hovyo wa CCM.
 
haya ndiyo tunayotaka kusikia!! tangu nijiunge juzi katika jf kwa kweli nilikuwa naogopa kuchangia maana utafikiri kuna vita hapa!! oo tuta mwaga damu, oo sijui nini!! sasa mpaka serikali yetu inasifiwa na kuongoza kwa utawala bora kwanini sisi wananchi tusiisifu?

Ukitaka kuona kama sifa hizo ni za kweli: dodosa yafuatayo:
1. Rushwa/utapeli katika huduma za kijamii.
2. Sheria zinavyotekelezwa kama watuhumiwa ni watu wadogo au vigogo. Mfano, mtu mdogo akituhumiwa kuua na kigogo akituhumiwa kuua - je treatment inafanana?
3. Mzigo wanaokula Watanzania wa kawaida na mishahara wanayoipata - tembelea kampuni mbalimbali.
4. Ukusanyaji wa kodi unavyofanywa - hakuna wafanyabiashara wakubwa wanaokwepa kodi?
5. Omba kupata kiwanja kilichopimwa au peleka ramani ya nyumba yako ili kupata building permit na uone vitu utakavyoambiwa bado vinahitajika kwenye hiyo ramnani na gharama yake.
6. Uwiano kati ya raslimali tulizo nazo na umaskini wa Watanzania wa kawaida.
7. Uongozi unavyopatikana Tanzania: unatokana na 'genuine, free and fair elections' or 'cooked results'?
8. Takwimu za MO Ibrahim zinapatikana wapi: maofisini au kwa Watanzania wanaoishi kimaskini?

Pili, mbona ripoti zikiwa chanya serikali inazitumia kuonesha inavyoaminiwa na jinsi inavyofanya vizuri lakini zikiwa hasi inazikana (inazikataa)? Hapa ndipo tatizo lilipolala!
 
Nchi za EA sisi hatupaswi kujilinganisha nazo kwani zipo chini sana kimaadili.

Unapoanza kujilinganisha na Rwanda kulikotokea mauaji ya "Kimbale" basi wewe umefilisika kisiasa.

Unapojiweka kwenye mizania moja na Kenya ambako uchaguzi wa 2007 uliacha zaidi ya maiti 1,000 basi wewe ni bora liende..

Unapojiweka katika meza moja na Uganda ambako Museveni kila siku anabadilisha katiba ili kuhalalisha yeye kuwa Rais wa maisha basi wewe upo dunia ya nne kiutawala bora

"Burundi ambako vita ya wenyewe kwa wenyewe haina mwanzo wala mwisho" sijui ni kuweke kundi lipi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom