Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,684
- 5,429
Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
Amekudanganya wewe na Nani?Huyu Mo arena aache kutudanganya sasa
Na wana UTOPOLO!Amekudanganya wewe na Nani?
mwana simba tumia akili basi,haaa haaaMe ni mshabiki wa Simba ila hii kauli aliyoongea mo naikataa kwa asilimia 💯 hiv mo anaweza kumsajili Messi?hapa Africa kwenyewe kashindwa kumpata Jackson Muleka wa Tp Mazembe ambaye usajili wake si chini ya 1Billion na mshahara wake si chini ya million 80
Mo ni mfanyabiashara na mwanasiasa...usiamini maneno ya watu wa aina hii mpaka a practice alichokiongea....View attachment 1472939
Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
Na Mnyero MbumbumbuAmekudanganya wewe na Nani?
Siku yoyote anachomoa battery huyo. Hakikisheni kuna investor mwingine. Asiwe peke yake.View attachment 1472939
Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
Acha utoto wewe, hivi kuna kocha simba anaweza kusema anamtaka messi? Amesema watasajili kama kocha atamuhitajiMe ni mshabiki wa Simba ila hii kauli aliyoongea mo naikataa kwa asilimia 💯 hiv mo anaweza kumsajili Messi?hapa Africa kwenyewe kashindwa kumpata Jackson Muleka wa Tp Mazembe ambaye usajili wake si chini ya 1Billion na mshahara wake si chini ya million 80
Natamani kocha aseme anamtaka coutinho maana huko ulaya hawamtaki kila sehemu wanasema hafaiKuna Balotelli alisema yupo tayar kuja kukupiga Africa na pesa kwake sio tatizo
Hatuna maneno mengi lakini tupoView attachment 1472939
Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.