Mo Dewji Shikamoo wakati GSM wakidhani wametukomoa Simba SC kwa Kudhamini Ligi Kuu kwa Tsh 2.1B, Wewe Ijumaa unadhamini MO 29 kwa Tsh 3B

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?

Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.

Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?...
Yaani ww jamaa utaacha kupost maujinga.. yani kila siku id mpya topic pumba
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?

Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.

Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Kwahio amedhamini ili akomoe?
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha...
Ni jambo jema sana wadhamini kuwa wengi, kutasaidia timu hasa zinazoitwa ndogo kujiendesha kwa ufanisi
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?

Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.

Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Aisee nimeamini mashabiki wa makolo fc ni mambumbumbu...yaani GSM kudhamini ligi amemkomoa Mo kivipi?
 
Mo kisha toa 1.5b bado 3.5b iwe 5b kwa simba pekee sio hizo 2,1 kwa miaka 2 kugombania TFF
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?

Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.

Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Mtu kufanya Investment kwaajili ya kupata return ni kumkomoa mtu mwengine?

Yaani ujinunulie ka IST kako kwaajili ya kukurahisishia usafiri halafu aje mtu aseme kua umenunua ile IST ili umkomoe.

Mpira wetu una safari ndefu sana kama wadau wenyewe wa mpira mkiwa na mawazo mgando kama haya.
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?

Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.

Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.
Main sponsor atoe bln 2.3 then partner atoe bln 3,hivi unadhani GSM ameshindwa kutoa pesa zaidi ya NBC!rage akukosea kuwaita nyie mbu3
 
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na kuyapatia Maisha?

Kudadadeki zenu sasa mmemchokoza Tajiri Mo Dewji ambapo Ijumaa hii anaenda Kudhamini Ligi Kuu ( nae kuwa Co Sponsor ) kwa kuweka 3 Billion Tsh kwa Bidhaa yake ya MO 29.

Mmemchokoza sasa mtamjua Tajiri MO.

Wabongo bwana yaani kwa kushadadia pesa za pesa zisizowahusu hamjambo. Pamoja na ushabiki wangu lakini huo ujinga sifanyi.
Yaani mtu na akili zako timamu unakaa unajisifia utajili wa mwanaume mwenzio.
 
Back
Top Bottom