Mo Dewji: Bilionea namba moja Africa Mashariki na namba 13 Africa

Binafsi mi hua naona ni kama wanakipeleka au kuna namna ya kufanya ili mtu utambuliwe,lakini wako watu hata kwenye orodha ya nchi hawaoni isipokua wana pesa nyingi na vitega uchumi lukuki lakini wapo kimya tu
Ni ngumu kuficha ukishakuwa na pesa nyingi
 
Hivi Mo Dewji zile 20 Bilioni zake alowekeza Simba ndio awe tajiri Afrika Mashariki? Matajiri hawajisemi, mzee Bakhressa kawekeza zaidi ya b 220....na upuuzi lakini hata tweet yake haionekni sehemu.
Acheni kumlinganisha Mudi Biriani na mzee Bakhresa!
 
Back
Top Bottom