Mo Dewji aanzisha petition ya kumuomba Rais Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Huu unafiki mkubwa..
Alikuepo hai wakati serikali inatafuta jina..
Iliwahi pendekezwa jina la Mkapa ..watu
Wakajibu Kwa kashfa sana..

Sasa keshakufa ndo muanze kumpa jina
Hata hatajua kumbe mlimpa heshima hiyo..
Huu ni unafiki mkubwa

Nimeeelewa sna ulichosema mkuu wangekua na nia ya dhati wangefanya hivyo kabla ss amtu amexha kwenda inaxaidia nn ss
 
Kafanya mengi ila haimanishi uwanja wa taifa tuite jina lake, kuna kingine dodoma kitajengwa ataitwa Mkapa arena

Angetoa hili wazo maskini sipati picha matusi yake
 
Kuna hasira gani hapo zaidi ya facts? Akiwa hai aligoma huo uwanja kupewa jina lake. Unapokuja na hoja mfu ya kuwa mlikosea, unamaanisha ndio huna hasira ama?
ndio sina hasira kwani mimi ni mwenzako katika kuutumikia upumbavu??
 
Anaandika Mo Dewji:-Leo nimeamua kuanzisha petition (maombi) kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa.

Amesema Itakuwa ni heshima kubwa kama uwanja wetu pendwa utaitwa jina la Uwanja wa Benjamin William Mkapa. Tunamuomba Rais John Pombe Magufuli aridhie kubadili jina la uwanja huo kwa heshima ya Hayati Mkapa ili tuendelee kumkumbuka kwa mchango wake mkubwa na hasa kwa vizazi vijavyo.

Tunawaomba Watanzania wote bila kujali ushabiki wa klabu muunge mkono kwa kuweka sahihi ili tumuombe Mhe Rais kubadilisha jina la uwanja huo uitwe Benjamin William Mkapa Stad.

Ujenzi wa Uwanja wa Taifa wa jijini Dar es Salaam ulianzishwa na Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa. Uwanja huo wenye uwezo wa kubeba mashabiki 60,000 ni miongoni mwa viwanja bora katika bara la Afrika kwa sasa.

Uwanja huo kwa namna mmoja au nyingine umesaidia kuendeleza mpira wa miguu na michezo mingine nchini Tanzania. Uzuri na ukubwa wa soka letu umedhihirishwa kwa sababu ya uwanja wetu huo ambao unashika nafasi ya 11 kwa ukubwa Afrika.
Hii wala haihitaji petition, naamini Serikali imeishaliona hilo
 
Nilidhani azikwe humo uwanjani kama wafanyiwavyo maaskofu.
 
Hoja Kuntu
 
Ungejiuliza kwanza kwanini wakati Unazinduliwa haukupewa Jina hilo?
 
Nae apunguze kujikombaa Huyo mzee ana Hospitali Zipo kwa jina lake... Ana Daraja lipo kwa jina lake..!! Uwanja wauachee tu..
 
Bilionea ajenge uwanja mpya kisha auite hivyo.
Kwa sasa angejiweka mbali na masuala kama haya.
Jina la Benjamin William Mkapa

1. Daraja la Mkapa
2. Barabara ya Benjamin Mkapa
3. Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa
4. Taasisi ya Benjamin Mkapa
 
Huu unafiki mkubwa..
Alikuepo hai wakati serikali inatafuta jina..
Iliwahi pendekezwa jina la Mkapa ..watu
Wakajibu Kwa kashfa sana..

Sasa keshakufa ndo muanze kumpa jina
Hata hatajua kumbe mlimpa heshima hiyo..
Huu ni unafiki mkubwa
UWANJA WA TAIFA UNAITWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NATIONAL STADIUM, ULE MDOGO UNAITWA UHURU STADIUM
 
Mo anajipendekeza kwa Magufuli

Kwanini ule uwanja wao wa bunju asiuite kwa jina hilo la Mkapa

Tangu atekwe akili zake zimekuwa kama mateka
 
Kwahiyo na Area D pale Dodoma pabadilishwe paitwe "Lissu street" ili tuwe tunakumbuka tukio ambalo hatutalisahau!!
 
Anaandika Mo Dewji:-Leo nimeamua kuanzisha petition (maombi) kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa.

Amesema Itakuwa ni heshima kubwa kama uwanja wetu pendwa utaitwa jina la Uwanja wa Benjamin William Mkapa. Tunamuomba Rais John Pombe Magufuli aridhie kubadili jina la uwanja huo kwa heshima ya Hayati Mkapa ili tuendelee kumkumbuka kwa mchango wake mkubwa na hasa kwa vizazi vijavyo.

Tunawaomba Watanzania wote bila kujali ushabiki wa klabu muunge mkono kwa kuweka sahihi ili tumuombe Mhe Rais kubadilisha jina la uwanja huo uitwe Benjamin William Mkapa Stad.

Ujenzi wa Uwanja wa Taifa wa jijini Dar es Salaam ulianzishwa na Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa. Uwanja huo wenye uwezo wa kubeba mashabiki 60,000 ni miongoni mwa viwanja bora katika bara la Afrika kwa sasa.

Uwanja huo kwa namna mmoja au nyingine umesaidia kuendeleza mpira wa miguu na michezo mingine nchini Tanzania. Uzuri na ukubwa wa soka letu umedhihirishwa kwa sababu ya uwanja wetu huo ambao unashika nafasi ya 11 kwa ukubwa Afrika.
Hatua nzuri lakini tatizo la Jiwe huwa hataki kujionesha Uamuzi wowote alioufanya kashauriwa na mtu...ukiachana na yule Masifuri aliyefutwa kwenye Uso wa dunia na Pompeo na Wajumbe wa Kigamboni
 
Back
Top Bottom