Mnyonge na masikini, mtaji wa wanasiasa

Hzi ni clip za kitambo sana , Jiwe alimhenyesha Sana mshikaji , mwamba ikabid atimue , jamaa yupo mtoni kitambo ....jamaa alikuwa na yupo bitter against na slogan za jiwe , yaan katika watu ambao walikuwa hawamkubali jiwe from the scratch ni huyu jamaa
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom