Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni; Bravo JK

Ndiyo, kumpongeza rais ni kujali utaifa wangu ambao ninajivunia. Ninaona fahari kufanya hivyo hasa pale jambo zuri linapotokea.

Ungekuwa unaujali utaifa wako kamwe usingetoa pongezi kwenye mediocre perfomances. Unachojali ni uanachama wako katika chama chenu cha mafisadi. Hakuna lolote alilofanya linastahili kupongezwa. Kuna ushahidi tosha kwamba nchi imemshinda lakini bado wadanganyika kama wewe mnataka kuonekana mna mapenzi zaidi na chama cha mafisadi ambacho wanachama wake hawafiki hata laki 5 kuliko Watanzania milioni 40. Sasa kipindi cha kuwatolea uvivu na kuwaambia ukweli wenu kimeshafika, sasa hivi tutawapa ukweli wenu kila kukicha kwamba chama cha mafisadi si chama cha wanyonge kama ilivyokuwa miaka ya nyuma bali ni chama cha matajiri ambao wamepata utajiri wao kifisadi kwa kudhulumu na kuiba kodi ya walipa kodi. Na viongozi wote ni mafisadi. Angalia jinsi walivyompiga vita Nape kwa kusema ukweli kuhusiana na mkataba wa jengo la vijana.

Kingekuwa si chama cha mafisadi basi tungesikia sauti nyingi toka ndani ya chama hicho kumpongeza Nape Nnauye na hata kuandamana kumuunga mkono, lakini kuna kimyaaa kizito kama vile hamkumsikia aliyoyasema Nape halafu mnakuja hapa mnajidai eti najali utaifa wangu!!!!! Kumbe unajali uanachama wako katika chama cha mafisadi!!! Acha fikra za kifisadi!Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
 
Quote:
Originally Posted by sikonge
Nasikia hotuba ya KIKWETE ina makosa na hivyo inabidi irekebishwe. Sasa hata haya ya EPA unaweza kukuta yanamakosa. Wanaokaa na kusifu kazi ya Kikwete kwa hili wakati HOTUBA INAMAKOSA, wanafikiria sawasawa?
Duuu, nilifikiri PUNDAMILIA SI PUNDA.

NB: Niongozeni kwenye listi ya watu wanaoona Muungwana hajafanya kitu na EPA.
CCM inatembeza U-SODOMA, inatulaaa!!! Mafisadi na Wawekezaji nao kwa sana tu.
Unasikia? Endelea kusikia!!!!

Pundamilia,
Haya soma hapa chini. Unadai watu watoe mada na wewe unaandika nini?
Pundamilia mwisho wa siku anabaki Punda tu.

Wabunge wazuiwa kumjadili Kikwete
na Salehe Mohamed, Dodoma
(http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/8/26/habari1.php)

SHAUKU ya wabunge kuichambua hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa bungeni wiki iliyopita imekwama, baada ya uamuzi wa kuijadili kuzuiwa kwa sasa.

Katika maelezo yake Sitta, alisema hali hiyo inatokana na baadhi ya mambo aliyozungumza Rais Kikwete kutokuwa katika mpangilio wa hotuba yake, hali iliyosababisha haja ya kufanyika kwa marekebisho.
Alisema wamelazimika kuipeleka hotuba hiyo Ikulu, ili ikafanyiwe marekebisho hayo, hivyo haitaweza kupatikana mapema kwa sababu Kikwete mwenyewe anatarajia kuanza ziara nchini Marekani kuanzia kesho.

NB: Haya bisha tena, PUNDA weee ahhh samahani, Pundamilia weee!!
 
Nitakuwa mstari wa mbele kabisa kumpongeza Rais wetu ifikapo Novemba 1 endapo atatoa maamuzi katika suala hili la EPA kwa mujibu wa sheria za NCHI na KATIBA yetu.
 
Sikonge, Sasa nimekuelewa ni wapi ambapo wewe hujapaelewa.

Hotuba ambayo iliandikwa ipo sawasawa na haina tatizo lolote, isipokuwa tu ni kwamba inabidi ifanyiwe marekebisho hasa kwa kuongeza yale ambayo Mh Rais aliyaongea lakini hayakuwa yameandikwa kwenye hotuba ile.
Kwa vile bunge linataka kuijadili, ni utaratibu wa kawaida ipatikane new version ambayo itakuwa imejumuisha nyongeza ambazo hazikuwepo hapo awali.
 
Hapo umenena kwani umeonesha kuwa uko huru kama ambavyo nimefanya mimi.
 
Ungekuwa unaujali utaifa wako kamwe usingetoa pongezi kwenye mediocre perfomances. Unachojali ni uanachama wako katika chama chenu cha mafisadi. Hakuna lolote alilofanya linastahili kupongezwa. Kuna ushahidi tosha kwamba nchi imemshinda lakini bado wadanganyika kama wewe mnataka kuonekana mna mapenzi zaidi na chama cha mafisadi ambacho wanachama wake hawafiki hata laki 5 kuliko Watanzania milioni 40. Sasa kipindi cha kuwatolea uvivu na kuwaambia ukweli wenu kimeshafika, sasa hivi tutawapa ukweli wenu kila kukicha kwamba chama cha mafisadi si chama cha wanyonge kama ilivyokuwa miaka ya nyuma bali ni chama cha matajiri ambao wamepata utajiri wao kifisadi kwa kudhulumu na kuiba kodi ya walipa kodi. Na viongozi wote ni mafisadi. Angalia jinsi walivyompiga vita Nape kwa kusema ukweli kuhusiana na mkataba wa jengo la vijana.

Kingekuwa si chama cha mafisadi basi tungesikia sauti nyingi toka ndani ya chama hicho kumpongeza Nape Nnauye na hata kuandamana kumuunga mkono, lakini kuna kimyaaa kizito kama vile hamkumsikia aliyoyasema Nape halafu mnakuja hapa mnajidai eti najali utaifa wangu!!!!! Kumbe unajali uanachama wako katika chama cha mafisadi!!! Acha fikra za kifisadi!Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.

Bubu ataka kusema,
Inaonesha wewe ni mgumu wa kuelewa, ninarudia tena, sijawahi kusikia Chama kinachoitwa au kusajiliwa kwa jina la Chama Cha Mafisadi.
Pili, Mimi siyo mwanachama wa chama chochote iwe ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) au kingine kama CUF au NCCR nk.
Tatu, hiyo chorus yako ya ufisadi sasa inaboa tafuta chorus nyingine.
Mwisho ninasisitiza kuwa umekwisha poteza mwelekeo, rudi kajipange upya, huna jipya!
 
Inakuboa wewe mtetezi wa mafisadi na labda wewe mwenyewe pia ni fisadi, lakini kwa wanaopenda kuona maendeleo ya kweli ya Tanzania kamwe hawataboreka na topic ya ufisadi. Hawawezi kuboreka na hiyo topic kwa sababu kati ya shilingi bilioni 300 na trilioni moja za walipa kodi zimeibiwa na mafisadi pamoja na chama cha mafisadi na hadi hii leo hakuna yeyote kati ya wahusika waliofunguliwa hata shtaka moja dhidi ya wezi huo mkubwa ambao unaweza kuwa among top 3 in Africa. Kwa Tanzania hizi ni pesa nyingi sana, hebu fikiria ni mambo mangapi yangeweza kufanywa kwa kutumia pesa hizo katika nyanja mbali mbali zikiwemo elimu, afya, usafiri n.k. Miye sina jipya lakini wewe mtetezi wa mafisadi, usiyekuwa na uwezi wa kuchanganua mambo kwa mapana na marefu ndiyo una jipya, la kuimba kama kasuku bila ya kujua hata maana ya maneno katika wimbo huo. Wewe PUNDA uliyeboreka kaa pembeni tuachie sisi tutafuatilia ufisadi huu mpaka kieleweke.
 
Hapa ninampongeza Mh. rais kwa kazi nzuri ambayo amekwisha ifanya juu ya swala EPA, hizo hadithi zako ambazo unaboa nazo anzishia thread nyingine.

Kama Rais, au Mrema au Mtikila amefanya vizuri sintosita kuwapa pongezi zangu.

Endapo Mbowe au Malecela ameboronga, sintosita kuwabonda. Hii ndiyo haki yangu ya kuwa huru na kutoa mawazo yangu.

As I told you earlier, get somebody to help you refresh your mind, inaonekana umechoka sana.
 
Sikonge, Sasa nimekuelewa ni wapi ambapo wewe hujapaelewa.

Hotuba ambayo iliandikwa ipo sawasawa na haina tatizo lolote, isipokuwa tu ni kwamba inabidi ifanyiwe marekebisho hasa kwa kuongeza yale ambayo Mh Rais aliyaongea lakini hayakuwa yameandikwa kwenye hotuba ile.
Kwa vile bunge linataka kuijadili, ni utaratibu wa kawaida ipatikane new version ambayo itakuwa imejumuisha nyongeza ambazo hazikuwepo hapo awali.

Pundamilia,
Ni rahisi kuwapa watu hotuba katika 'tuseme MP3'. Pia watu kukaa na kuiandika hiyo hotuba ni siku moja tu. Sidhani wataandika hata yale ya WANAUME WALIWE KIDOGO. Ingawa mie nasema inabidi pia yawemo. Rais mzima anasema Kisodoma-Gomola? Halafu anacheka na kusema "Sina maana hiyo". Nani kamwambia watu wanacheka hiyo MAANA?
Kama Muungwana atafanya kweli katika hili basi NTAUNGANA barabarani kwenda andamana na CCM kumpa hongera. Nisipoona pesa zimerudi na Vibaka wako ndani basi ntakuwa na nani sijui mwenye SIGN imeandikwa Screw Muungwana........ November 1 is dead line. Fo everything.
 
Sikonge,
Nimekuelewa vizuri sana ndugu yangu. Kwa kuongezea tu, katika ofisi ya Rais kuna Msaidizi wa Rais (Hotuba). Nadhani kuna taratibu ambazo zimewekwa kwa ajili ya utengenezajiwa hotuba hizo. Nafikiri baada ya majumuisho, hiyo hotuba itabidi apewe rais ili aweze kusaini na kuirasmisha.
 
Punda, nasikitika usivyofahamu wala kuona jinsi Watanzania walivyonyonywa na kukandamizwa kwa muda mrefu. Nasikitika kuwa huoni hata mchezo wa kuigizwa unaochezwa na huyo unaemsifia kuwalinda mafisadi ili wamrudishe tena madarakani 2010. Lakini nadhani nawe huenda unafaidika kwa njia moja au nyingine, kwani usingeweza kubeba bango kiasi hiki huku ukijua kuumiza umma wa watanzania
 
Ndugu yangu PUNDA uwezo wake wa kuelewa ni mdogo sana. Punda siku zote atakuwa ni PUNDA tu.
 
Lete hoja na siyo viroja
Hunijui sikujui!!!!

Sihitaji kumjua mtu wa aina yako! you sound very cheap, hata pishi moja ya wali mkavu inatosha kukununua, ili ushabikie visivyoshabikiwa.

The real cost of your ignorance is very high to get rid of, better you remain wth it!!
 
..punda afe mzigo wa bwana ufike........huyu punda kadhamiria kumbeba bwana wake hadi 2015..hata kama masikini anaweza kumuua kwa uzito au kumtia kilema..........ni uamuzi wake...................bahati mbaya hatuna migongo ya kufungia mbeleko wasanii...
 
Nimekupata, kwa vile unatumia emotions basi na hoja zako zitajengeka kwa misingi hiyohiyo, maana yake basi hakuna kitu ambacho kinaweza jadilika toka kwako, kila kitu ni baseless!!
 
..punda afe mzigo wa bwana ufike........huyu punda kadhamiria kumbeba bwana wake hadi 2015..hata kama masikini anaweza kumuua kwa uzito au kumtia kilema..........ni uamuzi wake...................bahati mbaya hatuna migongo ya kufungia mbeleko wasanii...

You are good comedian, even Billy Cosby will admire you!!!
 
Punda, nasikitika usivyofahamu wala kuona jinsi Watanzania walivyonyonywa na kukandamizwa kwa muda mrefu. Nasikitika kuwa huoni hata mchezo wa kuigizwa unaochezwa na huyo unaemsifia kuwalinda mafisadi ili wamrudishe tena madarakani 2010. Lakini nadhani nawe huenda unafaidika kwa njia moja au nyingine, kwani usingeweza kubeba bango kiasi hiki huku ukijua kuumiza umma wa watanzania

Nimekusoma vizuri, lakini posting yako imejaa hisia, kwa vile ni hisia basi endelea kukaa nazo wewe mwenyewe. Ninachohitaji ni facts na si hisia.
 
Back
Top Bottom