Mnyika, Zitto na Regia: Tupeni mchanganuo wa hela zinazolipwa kwa Mbunge ili tujue

Am still waiting... No hurry in africa! We in tz we are moving snail pace, yakhe haraka ya nini kujibu mshahara wangu unawahusu nini? Mshasahau kuwa ni public office if its public then your salary and overtime etc are all public!
 
Please Mnyika help us to break down. We need to understand why we are so suffering and so thatwe can take action aganst the government. We need it today.
 
One does not get tired of waiting, if he so needs what he or she is waiting for.

At some point we will hear the thunderous noise which may break or make our day.

Waiting in vain.
 
Please Mnyika help us to break down. We need to understand why we are so suffering and so thatwe can take action aganst the government. We need it today.

Si mnyika peke yake. Mwambieni na zitto naye atoe mchanganuo wa mapato yake zikiwemo posho za vikao vya kamati, aviweke hapa jamvini tuelewe. Wakati wanaomba kura huwa wanaahidi hivyo, wakishapata mhhhh.
 
Dada Regi asante sana kwa jibu lako................... Zitto come out man!!! tunaamini yule Zitto wetu wa kipindi kile is alive na haogopi kujibu kitu kama hiki as kwake ni kitu kidogo sana compared to mambo makubwa ambayo amekuwa akifanya........ come on man say something brother!!!!
 
I told you before! when it comes to money..its another business!! no matter what! Wote tunafanana!
 
As said, we will wait. If we hear we will listen. If we listen we will hear! Whichever way, its us or them, us and them.
 
msando.heshima mbele!how are you?

Nimeisoma sredi yako nimekupata,nimekuelewa.kimsingi nakubaliana na hoja yako na uko sahihi kutaka kujua maslahi ya wabunge kwakuwa sisi ni wawakilishi wa wananchi.lakini kwakuwa nchi yetu imejengwa kwa mgumo wa usiri katika mambo mengi na ndio maana utakuta hata mke hajui mshahara wa mumewe na wako kwenye ndoa zaidi ya miaka 50 na watoto nao hivyo hivyo hawajui kipato cha wazazi wao n.k.kumekuwa na utamaduni wa watu kutokutaka kuweka wazi vipato vyao bila sababu za msingi.binafsi huwa sielewi hasa kwanini iwe hivi.

Binafsi napenda sana kuweka wazi vyanzo vya mapato yangu na wakati nikiomba kura kilombero niliweka wazi jumla ya mapato ya mbunge kwa mwezi na kimsingi nilikuwa napingana na malipo haya.hivi sasa nimekuwa mbunge ninafungwa na kanuni za bunge za kutotoa siri za bunge.wakati tuko kwenye semina elekezi ubungo plaza tuliwekwa wazi kuhusu mapato ya mbunge na spika alisisitiza sana kuhusu usiri.nilipata nafasi ya kuhoji kwanini kuwe na usiri katika mapato yetu sikupatiwa majibu ya kuridhisha,kimsingi hakuna hoja za msingi ila ni woga tu.spika alisisitiza kwa yeyote atakayetoa siri atawajibishwa na kamati ya maadili.lema aliweka wazi kuhusu mikopo ya magari ya shilingi milioni 90 analaumiwa sana including baadhi ya wabunge wa chadema.kwa bahati mbaya sana sina id nyingine humu jf zaidi ya hii ya jina alangu halisi hivyo siwezi kuweka wazi hapa mbele ya kadamnasi na kwakufahamu fika kuwa humu wako members wakila aina including wabunge na viongozi wengine hivyo nisije nikachukuliwa hatua za kinidhamu unnecessarily.ila tukiwa nje ya jukwaa hili nitaweka wazi kila kitu iwe kwako au kwa mwingine yeyote atakayehitaji.

Naamini umenielewa na tutawasiliana kwa njia nyingine.

Aluta continua.
Kutoka ofisi za bunge dsm
regia e mtema
waziri kivuli kazi na ajira.

wema hawaishi sana katika hii dunia, nitakukumbuka daima katika maisha yangu ingawa nilikuwa sijawahi kukutana na wewe. Ulikuwa mbunge kiJAna jasiri, unajituma, muwazi na muaminifu. Ulitutoka regia, lala kwa amani.
 
Huu uzi siwezi kuchangia chochote nimemkumbuka marehemu Regia baadhi ya minakasha yetu humu jamvini.
 
wema hawaishi sana katika hii dunia, nitakukumbuka daima katika maisha yangu ingawa nilikuwa sijawahi kukutana na wewe. Ulikuwa mbunge kiJAna jasiri, unajituma, muwazi na muaminifu. Ulitutoka regia, lala kwa amani.

Dah Note comment
 
Back
Top Bottom