Mnyika watch out itakula kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika watch out itakula kwako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luck, May 16, 2011.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Namtahadharisha mbunge wetu mpendwa tuliyemchagua kwa kura nyingi kwa jimbo la kinondoni mhe. Mnyika kuwa kuna matatizo makubwa sana kwa wakazi wa maeneo ya kibangu,makoka,mavurunza,bonyokwa (kifupi maeneo ya upande wa kusini mwa kimara). Maeneo haya yana wakazi wengi sana lakini hayana huduma ya uhakika ya maji safi, barabara ni mbovu hasa kipindi hiki cha mvua.chakusikitisha kuna watu bado wanachimba michanga kando ya mabarabara na hawafanywi lolote licha ya kuwa waharibu barabara hizo.mnyika baba,wabane viongozi wako wa chini wasikuangushe..tumewapa rungu...kazi kwenu kulitetea kwa 2015.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,814
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye blue...nani wa ku watch out zaidi kati yako na Mnyika?
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  what? kwanza toka achaguliwe hata mwaka mmoja hajfikisha.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Nadhani hii thread inamuhusu Idd Azzan, ndio mbunge wa kinondoni.
   
 5. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Badilisha hilo jimbo then wasilisha tena
   
 6. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Haya ni maeneo ya Jimbo la Ubungo, ni jimbo litakalokuwa na kinyang'anyiro kikali sana 2015 hasa kama itakuwa ni mpambano wa Mnyika na Nape.

  Mnyika anapaswa hapa afanye kazi yenye viwango vya kutukuka ili awe safe,vinginevyo kazi ipo..
   
 7. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bt hata mlevi akinena siyo kwamba kija neno anaoongea halina maana.TUTAFUATILIA NA TUTAMSAIDIA MBUNGE WETU MNYIKA KUTEKELEZA ILANI YETU YA CDM. Bt kila palipotajwa pana Diwani mwakilishi wa chama gani?Wenyeviti wa vitongoji wa vyama gani?Nani anamwangusha Mbunge Mnyika J.J?
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280

  Nape yupi huyo unaemzungimzia wewe? au ni Nape huyu huyu ninaemjuwa mimi ambae alipigwa chini na mwanamke kwenye Primary votes?
   
 9. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huyo huyo, huyu Nape "mwenye umaarufu wa sasa" ni hatari sana kwa yeyote atakayekutana nae 2015.
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hivi ktk jimbo la kikwete hakuna matatizo? je kwa pinda? na kwa mawaziri wengine?
  sasa iweje mnamsakama Myika yeye ndio wa kulaumu kila kukicha tu?
  fabna tafiti kwanza ni wabunge wangapi wameweza kutimiza ahadi zao au kuonekana majimboni mwao baada ya uchaguzi kisha urudi na mada yako.Mnyika anajitahidi sana kuwa karibu na wananchi wa ubungo bila kubagua chama wala itikadi
  anajitahidi sana kinachomkwamisha ni hela za miradi ialiokusudiwa kutokutolewa kwa wakati na sii ubungo tu majimbo yote tuwalaumu manispaa.
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Labda tu mimi mgeni hapa mjini, ebu niambie kuna jambo gani la maana alilofanya huyu ambalo linawagusa wakazi wa Ubungo?
   
 12. luck

  luck JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  mwerevu hubisha kwa hoja.......

  tuache unafiki (kusifia mtu hata kama unaona mtu huyo anaelekea kusiko) pale kwenye ukweli ni lazma tuuweke wazi. mhe. mnyika anapaswa kuangalia upya "approach" yake asiishie tu kwenye kuongoza maandamano na makongamano kama anavyofanya kila kukicha......kura zake zipo kwa wananchi walimchagua, walimchagua wakiamini anaweza kuleta mabadiliko ambayo wazee wa kujivua gamba walishindwa kuyaleta...wananchi ndio hatma yake...wanaweza kumpa tena kura au la....tunachotaka ni mabadiliko tumechoshwa na hali iliyopo achape kazi tuone mabadiliko.....sio ya kutafuta kwa tochi na daima akumbuke alichaguliwa atetee maslahi ya wananchi...namuasa asiishie kwenye kuongoza maandamano na makongamano.....hayo hayamsaidii kitu mwananchi wa kawaida ashughulikie mambo ya msingi ya jimboni kwake.
   
 13. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwani ameshawahi kuwa mbunge wa Ubungo?kwa sasa Mbunge wa Ubungo ni Mnyika na ndiye atakayekuwa na burden ya kuonyesha nini alichowafanyia wanaUbungo katika kipindi cha 2010/15, Wapinzani wake watakuwa na kazi ndogo tu ya kuahidi watawafanyia nini WanaUbungo katika kipindi cha 2015/20 na kuwaaminisha uwezo wao wa kuyatekeleza yale wanayoyaahidi.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Ur out of ur mind, usidhani Watanzania wa leo ni wale wa mwaka 47. CCM iko madarakani kwa miaka 50 sasa, wamefanya kitu gani?
   
 15. luck

  luck JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80


  waswahili bwana........kaazi kweli kweli

  kama mwenzako alikosea,basi nawe ni sahihi tu kuendeleza makosa!!!!...kwa staili hii ni wazi hatutaendelea kamwe!

  Inanisikitisha sana km mtu mwenye elimu ya kutosha (at least nina uhakika anajua kutumia kompyuta) anatoa maneno mepesi utafikiri anakunywa uji wakt tunazungumzia mambo muhimu ya ujenzi wa taifa letu
   
 16. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama ulikuwa hujui fahamu sasa kuwa WanaUbungo kama ilivyo kwa wananchi wa majimbo yote ya nchi hii mwaka 2015, watawapima Wabunge wao kwa yale watakayoyafanya kwa miaka hii 5, you should know this.

  By the way, Watanzania ambao ndani ya ndoto zako unahisi unafikiri kwa niaba yao waliwachagua more than 75% ya Wabunge kutoka CCM miezi 7 tu iliyopita, amka usingizini!!
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280

  Nape agombee kwani bado hajui kuwa jimbo la ubungo lina wachaga wengi?
   
 18. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  So what?kuna mtu ameingia kwa ID yako nini?
   
 19. h

  hoyce JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nape mchekeshaji? Kila mtu anamshangaa
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280

  kawaida mtu akiandika pumba namjibu kwa pumba. akitumia kichwa anajibiwa kwa kichwa pia. You get what you give
   
Loading...