Ni kweli Kabisa hawa viongozi wa Ukawa ni kama hawako kwa ajili ya wananchiahamasishe kwanza sisi watu wa mbezi makabe tutengenezewe barabara ya njia panda ya makabe kuelekea msumi japo kwa changarawe kama ilivyo ile ya makongo juu, pia sisi watu wa makabe hatuna maji kabisa na tupo tayari hata kuchangia bomba la dawasco lifike kwetu lakini tumekosa mhamasishaji na mratibu, kura tumekupa sasa tusaidie sio unapotea pote
Dar haijapata kuwa na mbunge mpuuzi kama Mnyika,na 2020 sijui atahamia kibaha au atarudi magomeni maana ubungo ni wilayaMbunge wa kibamba Mnyika J.J ndiye mbunge anaesisimua zaidi pale anapojenga hoja au kuchangia chochote bingeni.
Hii imejidhihirisha katika mikutano yote ya bunge ambayo mbunge huyu amehudhuria, na hivyo kutujengea heshima kubwa sisi wananchi tuliomchagua.