Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Mimi ni mkazi wa Mbezi Makabe naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa.

Hii barabara inayoanzia kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara.

Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboniMh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

Tunakuomba angalau lipitishwe greda tu. Wananchi wapo tayari kuchangia.Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.

Tafadhali Mh Mnyika, hii la barabara na Maji Makabe ni jipu. Rudi jimboni saidia wananchi
Mrejesho
tunashukuru saba ike barbara yetu korofi imeanzwa kuchongwa tangu jana. Nashukuru wote waliofanikisha hili. Asanteni sana
 
Hii kutokuwa na maendeleo
Tatizo sio CCM.
Tatizo atayekuwa diwani sijui mbunge wote wanakula hela tu sio chadema wala CCM
 
Kaka wananchi wanapata shida sana ya usafiri. Hawana maji hawana barabara. ukimwambia mtu unaishi jijini anakushangaa. Haswa hili la barabara. Mh Mnyika hatumuoni

Hata barabara ya lami kuabzia Mbezi Luis contractor kasimama kazi bila maelezo. Kuelekea tangibovu nako kadimama tangu mwishoni wa Septemba 2015 na leo ni January 2016 (miezi minne) bila maelezo.
Upinzani unatakiwa utoe taarifa kwa haraka zaidi kuliko kuona mnagombania umeya tu na publicity kibao bila hata kutujulisha kwenye maeneo husika. Tunahitaji maji sisi Tegeta A kwa Bedui tunaahidi lakini hatuoni utekelezaji. Naomba katiba mpya ipitishwe na wananchi tuwe na uwezo kumtoa mbunge au diwani
 
kila nukifikiria shida ya Barabara na maji huku Makabe. usungizi unakwisha kabisa

I hope Mnyika atakuja hapa jukwani na kusikiliza kilio chetu

Mnyika ni mbunge wa nchi nzima,maana ni mtaalamu wa kujadili hoja za kinchi lakin jimbo lake analisahau
Goba toka ameingia mnyika 2010 maji yamekuwa tatizo kubwa kupita maelezo
Akija analeta malalamiko tu as if wananchi ndo wanaweza tatua hizo changamoto
Sisi tumempa uwakilishi wetu hizo changamoto ndio kazi yake ndo mana tukamchamgua yeye kwa sababu tuliona ana uwezo
 
Subutu,aje kufanya nini?!mtakula jeuri yenu kwanini mlimchagua yeye wakati mmeona kabla jimbo halikugawanywa hakufanya chochote cha maana ubungo
 
Kumbe uliwahi kuamini kuwa mnyika ataweza kujenga barabara,pole sana mkuu wale ni wasanii tu wala siyo waleta maendeleo.
 
Kazi ya chadema ni kusafisha mafisadi na wala siyo kuletea maendeleo wananchi.

Poleni Muliochagua chadema
 
Mim ni mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa. Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.
Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboni
Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo tayari kuchangia.
Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.
Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.
Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni jipu. Rudi jimboni saidia wananchi
Mbunge wetu Mhe Mnyika ana mambo muhimu na makubwa ya kitaifa zaidi kuliko mambo madogomadogo kama hayo wacheni usumbufu kwanza anajiandaa zaidi na mjadala wa escrow na ishu ya Zanzibar mambo mengine sujui mmetumwa!
 
watakwambia sio kazi yake... sasa kazi yake ni ipi..?
Kazi ya Mbunge ni kutuwakilisha sisi wananchi kwa serikali. kama miaka 5 ya mwanzo tulimtuma serikali akaishawishi serikali ijenge barabara na maji akashindwa. and this time hata jimboni hatumuuni. kwa kweli Mnyika unaelekea kushindwa kazi tuliyokutuma serikalini.
Kwa kweli hatutakuwa na jinsi. Na jinsi barabara zilivyombaya. Utatusamehe mtuu Mbunge wangu
 
hahahaha.... na zile pesa za mfuko wajimbo anazopewa kazi yake ni kuzila tu! ? hivi wananchi wake wanajua dhumuni ya zile pesa ...??! ifike kipindi wahoji.... CDM kumejaa wapigaji tu ....
 
Mim ni mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa. Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.
Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboni
Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.
Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo tayari kuchangia.
Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.
Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.
Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni jipu. Rudi jimboni saidia wananchi
Pia barabara ya majumba Sita- Mbezi Mwisho iliyofunguliwa kwa mbwembwe imewekwa lami kilometre 3.75 na mkandarasi alishaondoa vifaa site.Can Mnyika come forward and say something about these projects?
 
Hata barabara ya lami kuabzia Mbezi Luis contractor kasimama kazi bila maelezo. Kuelekea tangibovu nako kadimama tangu mwishoni wa Septemba 2015 na leo ni January 2016 (miezi minne) bila maelezo.
Upinzani unatakiwa utoe taarifa kwa haraka zaidi kuliko kuona mnagombania umeya tu na publicity kibao bila hata kutujulisha kwenye maeneo husika. Tunahitaji maji sisi Tegeta A kwa Bedui tunaahidi lakini hatuoni utekelezaji. Naomba katiba mpya ipitishwe na wananchi tuwe na uwezo kumtoa mbunge au diwani
Huko ni kufilisika kichwani. Eti unashangaa wanagombania umeya? Sasa huoni kuwa huo umeya ndo chanzo cha yote hayo unayoyataka? Maana ccm wakiwa na meya wao wanafanya maendeleo maeneo yao tu kwa wapinzani wanaacha ili waonekane hawawezi kazi. Mbunge hatoi hela mfukoni wala diwani
 
Tatizo sio Mnyika tatizo ni fugisufigisu zilizokuwa zikifanywa na serikali ya ccm ilio madarakani wananyima makusudi maendeleo ya eneo husika ili mbunge aonekane hafai.
 
kila nukifikiria shida ya Barabara na maji huku Makabe. usungizi unakwisha kabisa
Ana muda gani huyo mbunge tangia mumchague huko?

Watu tuna miaka 20 na mbunge huyohuyo na anishigi huko Dar tu wewe unalalamika kwa mbunge wa juzi
 
  • Thanks
Reactions: aye
Mimi ni mkazi wa Mbezi Makabe naandika haya kwa uchungu sana jinsi barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja anaiangalia. Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu. Haipitiki kabisa.

Hii barabara inayoanzia kituo cha zamani cha daladala Mbezi Mwisho kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaa zaidi ya masaa 3 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na ubovu wa barabara.

Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana. Maji tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita 1000 sh. 15 hadi elfu 20.Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni jimboniMh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

Tunakuomba angalau lipitishwe greda tu. Wananchi wapo tayari kuchangia.Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.

Tafadhali Mh Mnyika, hii la barabara na Maji Makabe ni jipu. Rudi jimboni saidia wananchi.
mliyataka wenyewee sasa shauri yenu x2
 
Tatizo sio Mnyika tatizo ni fugisufigisu zilizokuwa zikifanywa na serikali ya ccm ilio madarakani wananyima makusudi maendeleo ya eneo husika ili mbunge aonekane hafai.
sasa mkuu tufanyaje? tuendelee kuumia? kama kashindwa ku overcome hizo figisu figisu... basi atakuwa ameshindwa kazi tuliyomtuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom