Mnyika sio wa kwanza kutoa kauli ndani ya Bunge juu ya udhaifu wa Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika sio wa kwanza kutoa kauli ndani ya Bunge juu ya udhaifu wa Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mumburya, Jun 20, 2012.

 1. m

  mumburya JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 268
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  Wakuu, katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa Mh. Mnyika sio wa kwanza kutoa kauli ndani ya Bunge juu ya udhaifu wa Kikwete. wa kwanza alikuwa Mbunge wa Urambo - Mh. Samweli sitta alipomwambia KIKWETE live kuwa awe mkali kwa mafisadi nga kidogo, au kama kuna sheria inamtatiza ailete bungeni irekebishwe. NAOMBA KUWASILISHA.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Katika nukuu yako ya maneno ya Sitta, wapi kuna neno mdhaifu?
   
 3. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Yaani kama kuna sheria inamtatiza ailete bungeni irekebishwe. Ambayo sitta alikuwa haioni na kifupi anashangaa kwa nini rais alikuwa haadabishi mafsadi. Yaani Sitta alikwisha kuuona udhaifu wa JK na akamwambia wazi wazi, sioni siri hapo.
   
 4. m

  mumburya JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 268
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  soma kwa makini - nimeandika kauli ndani ya Bunge juu ya udhaifu wa Kikwete kwa maana hiyo sitta maneno yake yalikuwa juu ya udhaifu wa Kikwete ingawa hakusema direct. unapoambiwa uwe makali kwa wezi maana yake usicheke nao, usijikombe kwao, usiwe legelege bali uwachukulie hatua madhubuti. huo ni udhaifu na wala sio ushupavu kama unavyojilazimisha kuamini.

  Na je, ndege ya Qatar inapoingia anga la TZ na kubeba wanyama hai huo si udhaifu wa serikali inayoongozwa na Rais ambaye ni amri jeshi MKUU, Kikwete. Je, huo nao ni ushupavu au udhaifu?
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  rais Jakaya kikwete ni dhaifu by mnyika
   
 6. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli
   
 7. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu hata mimi nakumbuka hayo yote tatizo la wabung wengi wa CCM ni vilaza wao huangalia upande wao tu...na ndiyo maana mimi nawaona ni wachumia matumbo huogopa kusulubiwa wakati wa uchaguzi kuawafika maafa kwa kusimamia ukweli. Ipo haja sasa ya Watanzania kuwakataa watu wanafiki hawa wasio na tija.BTW namkubali MNYIKA ni mpiganaji wa ukweli na amesema ukweli kwa anachokiamini ila ndiyo hivyo tena serikali haitaki kukosolewa hata kwa madudu wanayoyafanya waige nchi za wenzetu wenye maendeleo wanaokubali challenges.
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Tatizo la naibu spika bwana Ndungai ni kwamba hakutaka kufafanuliwa nini maana ya udhaifu wa JK!, kwa wana CCM wamekwenda mbali mno kulitafakari neno UDHAIFU, neno UDHAIFU lina maana nyingi kulingana na nini kilichokua kinajadiliwa ndani ya bunge hapo jana! kwamtazamo wangu mimi nilivyomuelewa bwana John Mnyika alichokua anamaanisha ni kua JK ni mdaifu wa kutokufuatilia muenendo mzima wa kiutendaji kama kiongozi wa nchi, sasa wanaCCM nini kinachowauma?? Kwani siku ile pale Dodoma kwenye kikao cha CCM mbona Lowassa alimshupalia JK kua anajua ni nani wamiliki wa Dowans na yeye hakujibu je huo si udhaifu? wa kuwadanganya watanzania kua hausiki na wala hawajui wamiliki wakubwa wa Dowans? je raisi wa nchi unashauriwa vibaya na wasaidizi wako na wewe unakubali je huo si Udhaifu? Kweli JK utamaliza kipindi chako cha uraisi lakini utaondoka kwa aibu kubwa mno.
   
 9. s

  swrc JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kaka, KIKWETE ni dhaifu na udhaifu wake ndio uliotufikisha hapa.
   
 10. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I am siding with Mnyika. Kama mnabisha mpeni nafasi afafanue kauli yake! Period.
   
 11. M

  Mpemba asilia Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kijana yupo sahihi ila hawataki mildew ukweli tu.keep it up Mnyika one day wataelewa.
   
 12. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  FISADI ANAPORUDISHA BILLION 60 ZA WIZI, BILA KUSHITAKIWA...!JE??

  MY PRESIDENT IS HANDSOME..!lol SORI I MEAN NI DHAIFU..!
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Ni dhaifu tu!
   
 14. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Inategemea udhaifu wake upo kwa wapi. Nadhani jamaa si dhaifu ktk nyanja zote. mbona anao vijana wazuri tu wenye afya tele hadi wengine wamezunguka round about?
  Mnyika alihitaji muda zaidi awafafanulie wabunge ila haraka za Ndugai zimeharibu.
   
 15. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kuna kipindi kama sijakosea alikuwa Kafulila au Mkosamali alisema serikali ni Legelege
   
Loading...