Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,888
- 143,983
Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter.
Taafika kamili ya chama kwa umma:
Taafika kamili ya chama kwa umma:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhHayo yamesewa na Mhe.Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Mwambieni Tundu lissu aje..Hayo yamesewa na Mhe.Mnyika kupitia mtandao wa twitter
We shall overcome.This is Chadema I know. Kudos Mnyika. There is no way Hussein Mwinyi anapokelewa Zanzibar kuanzia AirPort na shamrashamra kibao alafu kumpokea Lissu iwe nongwa.
Anaenda kwenye Msiba wa Nani??
Wa babu yako....pumbafuAnaenda kwenye Msiba wa Nani??
Acha kujidanganya, atafikia korokoloni!Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Masikini Lissu,baba wa watu alienda Nairobi akiwa nusu mfu.Hapo CHADEMA mtasababisha mtu fulani ashindwe kuhudhuria mazishi. Au hata na yeye anaweza kupata cardiac arrest.
Kumuangalia uliyemuua kwa risasi 16 halafu akafufuka yataka moyo!!
🤛! Asante sana nduguWa babu yako....pumbafu