Mnyika: Rais Magufuli asingeishia tuu kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB

Mimi ningekuwa mkuu wa nchi ningekuwa naendesha serikali ya kwa kuserereka na hoja za wapinzani kiwizi wizi tuuuu....
 
HALAFU HAWA JAMAA HUWA WAKIONGEA KWA WAKT ULE WALE WA KUPIGA KOKOFI MADAWATI UPINGA,SS SIKU ZIKIENDA MBELE SANA KILE KILICHOKUWA KINAPIGIWA KELELE NA WAPINZANI KIKIBATILISHWA WAO TENA UUNGA MKONO KILE TENA KUSAPOT KUVUNJWA/ KUONDOLEWA KWA KILE WALICHOKIOIGIA MAKOFI MWANZONI.

TATIZO SIJUI HUWA NI NINI MARA NYINGI NIMETAFAKAR KWA KINA NIKASHINDWA KUJUA.

HEBU NISAIDIENI TATIZO HUWA NI NINI HAPO?
Tatizo kubwa kabisa ni UNAFIKIII. Duniani, mtu mnafiki ni wa kuogopa kama ukoma. Mataufa yasiyo na wanafiki yanasonga mbele kila siku.
 
Mungu atawalipa Halima Mdee, John Mnyika na wengine waliopinga kuanzisha hii taasisi ya PDB. Aibu yao wale wote walioikingia kifua.
 
Back
Top Bottom