Mnyika: Rais Magufuli asingeishia tuu kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB

kama kazz

JF-Expert Member
Apr 28, 2015
1,073
2,000
John John Mnyika
Naibu Katibu Mkuu Bara
Mbunge wa Jimbo la Kibamba
27/6/2017

"Rais John Pombe Magufuli asingeishia kuwaaga waliokuwa wafanyakazi PDB, na badala yake amwagize CAG afanye ukaguzi ufisadi Ofisi ya Rais PDB"

Rejea Miaka ya nyuma akitaka kutoa shilingi Bungeni juu ya ufisadi mkubwa.

Bullycheka

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
555
500
HALAFU HAWA JAMAA HUWA WAKIONGEA KWA WAKT ULE WALE WA KUPIGA KOKOFI MADAWATI UPINGA,SS SIKU ZIKIENDA MBELE SANA KILE KILICHOKUWA KINAPIGIWA KELELE NA WAPINZANI KIKIBATILISHWA WAO TENA UUNGA MKONO KILE TENA KUSAPOT KUVUNJWA/ KUONDOLEWA KWA KILE WALICHOKIOIGIA MAKOFI MWANZONI.

TATIZO SIJUI HUWA NI NINI MARA NYINGI NIMETAFAKAR KWA KINA NIKASHINDWA KUJUA.

HEBU NISAIDIENI TATIZO HUWA NI NINI HAPO?
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
22,089

Tatizo la nchi hii ni fisiemu period
 
Jotu

JF-Expert Member
May 8, 2012
441
500
Simbachawene anasema "Mnyika anataka serikali ishindwe". Sasa kwa kufuata ushauri wake serikali imeshindwa. Natamani wasikilize mjadala huu tena ambapo JPM alikuwepo
 
Ngoda95

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
2,611
2,000
Utakuta Leo hii Simbachawene Yule Yule anagonga meza kupongeza kilichofanywa na Pombe.
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,227
2,000
HALAFU HAWA JAMAA HUWA WAKIONGEA KWA WAKT ULE WALE WA KUPIGA KOKOFI MADAWATI UPINGA,SS SIKU ZIKIENDA MBELE SANA KILE KILICHOKUWA KINAPIGIWA KELELE NA WAPINZANI KIKIBATILISHWA WAO TENA UUNGA MKONO KILE TENA KUSAPOT KUVUNJWA/ KUONDOLEWA KWA KILE WALICHOKIOIGIA MAKOFI MWANZONI.

TATIZO SIJUI HUWA NI NINI MARA NYINGI NIMETAFAKAR KWA KINA NIKASHINDWA KUJUA.

HEBU NISAIDIENI TATIZO HUWA NI NINI HAPO?
Kwani hawa jamaa walivyotuhumu qatu kuwa ni mafisadi na baadae kutumia dodoki kuwasafisha walikuwa wanamaanisha nini?
 
Eng temu

Senior Member
Nov 24, 2016
143
225
HALAFU HAWA JAMAA HUWA WAKIONGEA KWA WAKT ULE WALE WA KUPIGA KOKOFI MADAWATI UPINGA,SS SIKU ZIKIENDA MBELE SANA KILE KILICHOKUWA KINAPIGIWA KELELE NA WAPINZANI KIKIBATILISHWA WAO TENA UUNGA MKONO KILE TENA KUSAPOT KUVUNJWA/ KUONDOLEWA KWA KILE WALICHOKIOIGIA MAKOFI MWANZONI.

TATIZO SIJUI HUWA NI NINI MARA NYINGI NIMETAFAKAR KWA KINA NIKASHINDWA KUJUA.

HEBU NISAIDIENI TATIZO HUWA NI NINI HAPO?
Mahanangwa wale
 
Harrison Justine

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
1,138
2,000
Tatizo la nchi hii ni fisiemu period
Nadhani imemsikiliza Esther Bulaya hapo. Alikuwa anatoa sapoti kwa jezi la kijani. CCM bado ndio wauaji , ili Magufuli afanikiwe inabidi apitie vizuri hansard za bunge asikilize mwenyewe michango ya wabunge wake
 
QUIGLEY

JF-Expert Member
May 23, 2015
27,704
2,000
HALAFU HAWA JAMAA HUWA WAKIONGEA KWA WAKT ULE WALE WA KUPIGA KOKOFI MADAWATI UPINGA,SS SIKU ZIKIENDA MBELE SANA KILE KILICHOKUWA KINAPIGIWA KELELE NA WAPINZANI KIKIBATILISHWA WAO TENA UUNGA MKONO KILE TENA KUSAPOT KUVUNJWA/ KUONDOLEWA KWA KILE WALICHOKIOIGIA MAKOFI MWANZONI.

TATIZO SIJUI HUWA NI NINI MARA NYINGI NIMETAFAKAR KWA KINA NIKASHINDWA KUJUA.

HEBU NISAIDIENI TATIZO HUWA NI NINI HAPO?
Njaa ya kichwani
 
gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,500
2,000
Halafu watu muhimu kabisa kwa maendeleo ya nchi kama hawa wanafurushwa ndani ya bunge na nje ya bunge tena wanashughulikiwa eti wasaliti wa taifa! Halafu Yale mapumbavu mashangiliaji ndio yanaonekana mazalendo?! Hakuna nchi ya viongozi wajinga duniani kama Tanzania! Inauma sana aisee
 
hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,231
2,000
HALAFU HAWA JAMAA HUWA WAKIONGEA KWA WAKT ULE WALE WA KUPIGA KOKOFI MADAWATI UPINGA,SS SIKU ZIKIENDA MBELE SANA KILE KILICHOKUWA KINAPIGIWA KELELE NA WAPINZANI KIKIBATILISHWA WAO TENA UUNGA MKONO KILE TENA KUSAPOT KUVUNJWA/ KUONDOLEWA KWA KILE WALICHOKIOIGIA MAKOFI MWANZONI.

TATIZO SIJUI HUWA NI NINI MARA NYINGI NIMETAFAKAR KWA KINA NIKASHINDWA KUJUA.

HEBU NISAIDIENI TATIZO HUWA NI NINI HAPO?
Uelewa wako ni mdogo, hawajamaa huja kupinga baadae namna ccm wanavyo weka hoja zao kisiasa. Rejea sakata hili la madini, wapinzani walisema watakuwa pamoja kama mibunge ta ccm haitalifanya hilo swala kisiasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom