Mnyika oyeee

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
At last katangazw. Nilishindwa hata kula kwa kudhani watayachakachua.

God is great all the time. Congs bro.

Viva pipoz power
 
Mnyika kushinda kupitia upinzani ni fundisho kwa chama tawala. Chama tawala kijifunze kuwa hii nchi sio ya CCM tu. Inabidi rushwa ipingwe kwa juhudi zote na wanaokamatwa kwa rushwa wachukuliwe sheria stahili, na sio kulindana.
 
Mh! Hili ni Jukwaa na Malavi Davi lakini au ndiyo Mambo ya Kumdondokea?
 
Back
Top Bottom