Mnyika omba mwongozo kuhusu Majaliwa kulidanganya bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika omba mwongozo kuhusu Majaliwa kulidanganya bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nkisumuno, Jul 30, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna siku Mnyika uliuliza swali kuwa serikali itoe kauli juu ya mgogoro wa serikali na walimu. Jibu lake likawa hakuna mgogoro wowote bali ni kikundi cha watu fulani wanaeneza uvumi wa kuwataka walimu wagome.

  Je kiti kinasemaje juu ya uwongo huo wa naibu waziri? Bunge limuwajibishe kwa kumtaka ajizuru kwani haiwezekani naibu waziri awe na majibu mepesi kiasi hicho?

  Vinginevyo tutakosa imani na bunge zima kama tulivyokosa imani na spika na naibu spika wa CCM
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tumia kichwa kwa kufikiria pia sio kuotesha nywele tu. Mnyika ni mla rushwa anatakiwa atolewe bungeni.
   
 3. C

  CAY JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mmmm?una uhakika na hilo?
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wananchi wa JMT tuna uhakika more than 100%
   
 5. Y

  Yetuwote Senior Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waweza kuwa dume la mbegu lakini ni mbegu zilizo oza.
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama huwezi kuchangia si unaka kimia tu, ama umekula daku ya nguruwe?
   
 7. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ile Account yako ya FB mbona huwa huandiki utumbo kama huku?
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu ilitakiwa nipate bun mpaka nilipoona maoni yako ndo akili ikanijia!
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu hebu nipm basi account yake mtu huyu!
   
 10. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45

  we mbona ujatumia makalio kukalia unayatumia kufikiria
   
 11. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ....... porojo ....... infertile species...
   
 12. m

  mamajack JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sema magamba ndio mnakesha mkiomba iwe hivyo,usisingizie wananchi,hilo!!!!!
   
 13. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tafadhali mwaga ushahidi ili tusafishe bunge tukufu wabaki wasafi
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Lisemwalo lipo kama halipo..............
   
 15. Mdakuzi

  Mdakuzi JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Sio kila mbegu ni bora, na katika hili tumethibitishiwa!
  Ni dume la mbegu iliyooza, naam iliyooza.

   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Usipoweka ushahdi wako kuhusu Mnyika kula rushwa basi wewe ni Jike la mbegu.
   
 17. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wananchi gani? Tafadhali usi generalise na kutu include watanzania wote katika hizi propaganda zako.
   
 18. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180

  Nimecheka mpaka boss kaja kuchungulia ofisini kwangu. Duh! Watu wengine utafikiri mnaandaa majibu wiki moja kabla!
   
 19. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Oooooopppsss..Great thinkers mh!!:rant::rant:
   
 20. MMkulima

  MMkulima Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hata mimi Mosha haya majibu yananiachaga hoi kupita kiasi. Huenda watu huja na majibu ya kesho yake hapa JF!!! But veeeeeeeeeeeere vere interesting and lively.
   
Loading...