MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 3,684
- 5,011
Ukamshitaki nanisasa tunachoka na hizi habari. Miezi mitano na mahakamani kupo chama kinasubiri nini.?
Ukamshitaki nanisasa tunachoka na hizi habari. Miezi mitano na mahakamani kupo chama kinasubiri nini.?
Kuomba tafsiri ya sheria juu ya hao wabunge kama ndugai na wenzake wameshindwa. Mahakamani sio mashitaka tu hata ushauri unapatikana kuleUkamshitaki nani
Watasema hawajawahi kupokea barua ni uzushi, hii nchi ina maajabu mengi sanaNgoja hao NEC watoke humo walipi waseme hawaitambui au hawajibu vipeperushi!
Nendeni kwenye baraza kuu lenu la Chadema kama katiba yenu inavyotaka huko mtapata kila kitu acheni kuruka hilo baraza kuuKuomba tafsiri ya sheria juu ya hao wabunge kama ndugai na wenzake wameshindwa. Mahakamani sio mashitaka tu hata ushauri unapatikana kule
BARAZA kuu kwa nini mnalikwepa nyie? CHADEMA kuna shida sio siri.Watasema hawajawahi kupokea barua ni uzushi, hii nchi ina maajabu mengi sana
Ni kweli CHadema wanacheza mchezo wanawachezea akili chadema wenzao sio fair lakini wanachofanyaBado nasisitiza huo ni mchezo tu, kwanini CHADEMA wasiitishe mkutano mkuu kutoa maamuzi ya mwisho,wawahoji akina Mdee,waandike barua upya kwa speaker waambatanishe vielelezo Kama alivyodai!?.. wanabaki kulalamika Twitter tu. Kuna ugumu gani hapo!?.. tukiwaambia CHADEMA wanawachezea mchezo hamuelewi.
Malizeni ya nfani mwenu halafu muhamie chadema, ccm kuna shida nyingi ila mmewakalia chadema kooni, penye haki tusijitoe ufahamu lazima tusema ukweli, Kama kweli chadema hawakupeleka majina NEC tujiulize hao wabunge wanawakilisha chama gani, NECpamoja na bunge wamekiuka taratibu na lazima wakubali kuwahibika waeitunishe misuli kwa kivuli cha serikaliBARAZA kuu kwa nini mnalikwepa nyie? CHADEMA kuna shida sio siri.
Nyie ndi mumekiuka baraza kuu uamuzi wake ndio final kwa mujibu wa katiba ya chama chenu pelekeni shauri huko likafanyiwe final decision.SI HAKI KULINYIMA BARAZA KUU NAFASI YAKE YA KUFANYA MAAMUZIipenye haki tusijitoe ufahamu lazima tusema ukweli, Kama kweli chadema hawakupeleka majina NEC tujiulize hao wabunge wanawakilisha chama gani, NECpamoja na bunge wamekiuka taratibu na lazima wakubali kuwahibika waeitunishe misuli kwa kivuli cha serikali
Ahh kumbe nabishana na Yehodaya, akili ulishaweka nyuma umebaki mihemkoNyie ndi mumekiuka baraza kuu uamuzi wake ndio final kwa mujibu wa katiba ya chama chenu pelekeni shauri huko likafanyiwe final decision
Mumeambiwa itisheni baraza kuu ukweli wote uanikwe hamtaki kwa nini? na Baraza kuu ndio kazi yake hiyo .Wapelekeeni
Wabunge wako tayari kuanika kila kitu ndani ya kikao cha baraza kuu hawataki kuongea barabarani nyie hamtaki kuitisha baraza kuu mnaogopa nini au mnaficha nini? baraza kuu ndio lenye sauti ya mwisho ya kutimua uanachama mtu mbona mnashikwa na kigugumizi kuitisha huo mkutano mkuu kulikoni?
Wanaweza kuomba tafsiri ya sheria inayoruhusu hao wabunge ambao hawakuchaguliwa wala kupendekezwa kuwepo bungeni. Waonyesha vielelezo vyao na mifano ya wengine waliositishiwa ubunge pindi walipofukuzwa uanachama. Kazi ya mahakama kuu ni kutafsiri sheria.Labda ni jinai waanzie polisi!
Mahakama ipi ?Huo ni mchezo tu, kama walifoji barua mbona Chadema hawaendi mahakamani!?
itisheni baraza kuu la chama chenu Chadema majibu mtakutana nayo huko ambako wamekata rufaa na wako tayari kuongea yote huko.Nendeni mkayaongee huko kwenye mkutano wa baraza kuu mnaoukwepa kuuitishaJibu ni moja tu nani alipeleka barua ya uteuzi?
Haiwezi, tume yenyewe ni CCM, haijijui wala haijui kama kuna Mungu, hao virusi-19 wachweMungu wa israel na Alla atawajibu watanzania, mtakumbuka huu uzi.Kumaliza Mgogoro wa Wabunge 19 Tume ina Nafasi Muhimu ya Kuumaliza.
1 Tume ya Uchaguzi iueleze Umma wa Watanzania Utaratibu ULIVYO Kisheria Wabunge wa Viti Maalumu Mchakato wa Kuwapata Ukoje ili tujue kama hao 19 waliufuata kisheria...