Mnyika ni Mbunge Makini siyo wakuhubiria 'MINARA YA SANAMU'

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Hatuwezi kuruhusu viongozi wetu kuingia kwenye mtengo huwo wa kisiasa, kuanza kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwetu kwakuwa siyo utamaduni wetu.

CCM wameamua kumshambulia Mnyika kwakuwa wanajua ni mbunge makini ambaye yupo active .. Nikiwa kama katibu wake wa mkoa siwezi kuruhusu jambo hilo.

Mnyika ni mbunge wa hoja makini kwaajili ya kulisaidia taifa siyo Mbunge wa kuhubiri minara ya masanamu.......
Henry Kilewo
Katibu Dsm Chadema
 
Kunyamaza kunafanya kazi vizuri sometimes. Ila sina uhakika kama hiyo approach inaweza isaidie upinzani katika mazingira yaliyopo hapa nchini kwetu sasa hivi.

Msimamo wangu binafsi ni kwamba sio sahihi hata kidogo as leaders kuacha vacuum pale inapotokea kuna mambo ya msingi yanayohojiwa kwa viongozi.

Anyways....ngoja wengine tuendelee kukaa pembeni tukiangalia movie inavyoenda
 
Naona kama nafasi ya naibu katibu mkuu bara imechukuliwa rasmi na naibu katibu mkuu Zanzibar(Mwalimu).
Sababu za kufanya hivyo ndio sizijui.
 
Back
Top Bottom