Elections 2010 Mnyika nenda kutetea Segerea na Kawe wanaiba; wewe ndo kaka sasa

Status
Not open for further replies.

MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,166
166
Kama kazi imekwisha hapo Ubungo Huyo sasa ni ndege wetu na Picha ya maendeleo imenijia machoni kwangu,
HOJA BINAFSI NI KWAMBA
Ujumbe wetu ni hakuna kulala. sasa majeshi yote twende kule Segerea na sehemu ya Kawe maana hawa CCM na Nec wamekosa jicho la soni,
maana wanaiba sana, na nadhani bado hata zile za urais wanaendelea kufanya maouver ili JK eti ashinde kwa kishindo
Napendekeza tuwasaidie wapiganaji wengine tupate matokeo yetu tuendelee nahoja za kuwabana mafisadi

MAFISADI CHALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!
Hoooooooooooooooooooooooooooooooooiii:peep::peep::peep::peep::evil:
 
Ivi Slaa sheria haimruhusu nini?Wangelikuwa ni kama hawa akina JK tayari keshaenda
 
Heshima kwako Mtwa,

Ni kweli Mnyika anatakiwa kusaidia Kawe na Segerea,unajua ujio wa Mbowe Arusha ulisaidia sana kuwakimbiza CCM mabo yalishaanza kuchakachuliwa.
 
Haswaaaaaa. Maana nimekutana na mama aliyekuwa anagombea Mkuranga ana sema amedhurumiwa hivi hivi kwa kubadilisha matokeo kwenye komputa. Analia machozi. Ina uma sana CCM na wasimamizi wa uchaguzi hawafai kabisa!!
 
Kweli naungana na mdau hebu fanyeni haraka tembeleeni Kawe, Ukonga na Segerea kuona yaliyojiri. Nina wasiwasi chadema imeshinda kulw ile wanachukulia mambo ya ubungo kama mwanya wa kuchakachua. Please, fanyeni hima tafadhali.
 
Heshima kwako Mtwa,

Ni kweli Mnyika anatakiwa kusaidia Kawe na Segerea,unajua ujio wa Mbowe Arusha ulisaidia sana kuwakimbiza CCM mabo yalishaanza kuchakachuliwa.
Thanks Ngongo, unajua kwa sasa Upinzani na hasa Chadema wasiachane maana CCM na watu wao wote wanakihofia sana na pia wenyewe wanatakiwa kuwa kitu kimoja. japo kwa sasa wanayofanya bado kidoooogo wanatia aibu ya kimataifa, subirini waendelee mtasikia.
It is very unusual kigoma Geography ikawa rahisi kuliko DSM. Lazima nguvu iongezwe!!
 
Siyo utani wajamani,sirkali hii ama uoza?simple excel ya kujumlisha wanajidai wameshindwa kwa kura pungufu ya 100,000?hakuna kulala mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
Na hilo liwe funzo kwa jk na ccm na wajingawajinga wenzao kuwa hawawezi tena kumdanganya yeyote!
 
Ivi Slaa sheria haimruhusu nini?Wangelikuwa ni kama hawa akina JK tayari keshaenda

Slaa ni Dr. wa ukweli. Kuna mambo makubwa sana ameshaona, na anataka kukusanya data tu ili watanzania waelimishwe. Yeye ndiye Rais wetu hata kama watamwibia, Msubiri yeye hapigi propaganda, maana akitokea tu watu watafurahia sana ujio wa baba yao na hali itakuwa mbaya. watu watakosa uvumilivu kwa machungu ya rais mzalendo huyu!
JK ni Mbayuwayu mhuni mzoefu, na ndo mwalimu wa michezo michafu na maisha yetu magumu tuliyonayo. Ndo maana anakuja, na anafichwa, na wote wanajua kazi iliyomleta, na analala chumba cha matokeo bila ya taabu. Tumwache Dr. wa ukweli utamsikia tu, huwa haigi mambo
yeye anaanza na wao wajitetee.
 
Si Mnyika peke yake. Hata Mbowe anatakiwa aende Kawe na Sgr, kuwachapa makofi CCM kama Hai waache mchezo wa kitoto.
 
Si Mnyika peke yake. Hata Mbowe anatakiwa aende Kawe na Sgr, kuwachapa makofi CCM kama Hai waache mchezo wa kitoto.
tena mwenyekiti! alitakiwa awe pale kitaaaambo! Jamani hawa watu hivi tupo pamoja au tunazugana?
Umhimu wa majimbo ya Dar ni mkubwa sana ukitegemea uozo uliopo kutoka na kukosekana kwetu.
Wote waliotangazwa wagawane ili kuokoa sehemu zinazotiliwa mizengwe. lazima tujue kuwa hii ni vita ya Ukombozi kwa TZ.
Kuna morogoro kaenda nani? na kwingine watu waende kutia nguvu. hawa watu hawaeleweki
 
Zito naye ameshatangazwa so asaidie penye utata... Hawa ccm wakiona kuna uzubaifu watachakachua sasa hivi na ndo wanachokisubiri... Ohooooooooo!! Mi nimeenda ila sijulikani so haikusaidia ikabidi nirudi ofisini kimya :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Jana niliwahimiza sana Chadema kwenda Ulanga magh na Kilombero, msingi wa hoja yangu ilikuwa hili ombi la thread. Kule Ulanga Magharibi pongezi ziwaendee wanafunzi wa SUA walioamua kwenda kumsaidia prof Mlambiti, niliwaandikia chadema kuwa wanapaswa wakamsaidie mzee Mlambiti kwani naturally si mtu wa majukwaa, watu wale walikuwa tayari kwa mageuzi kilichotakiwa ni booster ya kuweka uhai wa hoja za prof Mlambiti, SUA students waliweka kambi Malinyi na kwakweli walifanikiwa sana, kosa walilolfanya walipoamaliza kampeni wengi wakabaki malinyi kumbe walipaswa kuweka kambi mtimbira kudhibiti uchakachuaji kwani pale ndio centre ya vitendo hivyo.
 
Yap afunge safari aende kule, mkuki kwa nguruwe sasa this time nguruwe ndio kashika mkuki
 
hilo nalo neno, Mh Slaa rais wetu mtarajiwa, Mh Mnyika na wote wenye uwezo wa kutia nguvu kwenye hayo majimbo ambayo CCM wanajaribu kuchakachua, chondechonde uwepo wenu maeneo yale ni support tosha kwa wagombea wenzenu ambao tunaimani kuwa na nao tayari ni Waheshimiwa wenzenu, uwepo wenu ni muhimu sana.
 
Jana tumekesha Royola, yes mnyika na wapiganaji wote tulokua royola jana, nguvu tuzielekeze kawe sasa
 
Kwa ufupi hawa jamaa wakiona hakuna mishe wala nyomi ya wanaharakati ndo wanachakachua, cha msingi wanachadema endelezeni harakati katika majimbo na maeneo yote yenye utata, peoplee...
 
Kawe kishaeleweka kamanda Halima Mdee kashachukua jimbo,sasa wote twende huko segerea mi nahisi hata kibaha na kule ulanga tumechakachuliwa wadau tusimame bado tunahitaji majimbo mengine.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom