Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto

Kwa kutunza nidhamu ya vyama fukuzeni tu!

Solution wanaijua lakini wote hawataki kuizungumza kwani iapunguza authority kubwa sana kwa vyama na itaondosha bullying wabunge na viongozi wengine wa chama ambao wako against na baadhi ya sera za vyama. Solution yenyewe ni kuruhusu mgombea binafsi kwani hata mbunge akifukuzwa kutoka kwenye chama ana uwezo wa ku-retain kiti chake cha ubunge kama ni mbunge wa kujitegemea au mtu anaweza kutoka kwenye chama na kubaki kuwa mbunge vile vile na hiyo itaepusha nchi na gharama zaidi za uchaguzi.na proposal ambayo CCM wanaitaka ya kuwa mtu akipoteza ubunge au akifa basi chama kimteuwe mtu wa kushika nafasi yake. hiyo pia ni ujanja mmoja wa kuendeleza ukiritimba wa vyama vyetu,kwani itawahakikishia ya uwa kile kiti hawakipotezi na kumfukuza uanachama mtu itakuwa ni rahisi tu.lakini kurudiwa kwa uchaguzi wanakuwa hawana uhakika wa kushinda tena...once katiba ikiruhusu mgombea binafsi basi vyama viruhisiwe kum replace mbunge once kama mbunge atakufa.
 
nape anasema; kila chama kina taratibu zake. kuna mambo yanatakiwa kuishia ndani ya vikao vya chama na kuna mambo hayatakiwi kwenda mahakamani. Mia
 
Kwani mnyika mbona hasemi wao wamechukua hatua gani dhidi ya shibuda?Mbona kwa madiwani wa Arusha hawakusita kuwatimua haraka? Hii si ndio double standards?Are pipo nt all equal before their party‘s constitution?
Kama ye kweli anahubiri na kuamini katika siasa ya kuwajibishana ndani ya chama basi atuambie nini wao chadema wamemfanya shibuda mbona anaendelea kubwabwaja ovyo kila siku?
 
nape: CCM ndio muasisi wa kufukuza wabunge, mwaka 1968 kilifukuza wabunge nane.
 
wote wanakubaliana kuwa nidhamu kwenye chama ni suala muhimu lakini lisitumike kukomoana.wanadai mgombea binafsi ni njia ya kutatua tatizo hili lakini si mwarobaini wake.
 
nape anasema wao ndo wasisi wa kufukuzana. hata seif wao ndo walimfukuza. NAPE anasema watawaondoa watu wasio takiwa. ameondoka mmoja waili kuna wengine wamebaki. kuwafumbia macho ni kuchagua kifo cha ccm. so inabidi wafukuzwe ili tueendelee kuishi. Mia
 
vyama vilivofukuza vinajitetea kwamba vilikuwa sahihi na wanatoa in details what happened adi wakafukuza
 
Nape anasema ccm ndio nmwasisi wa kufukuza kwani iliwahi kumtimua rais wa zanzibar na makam wa rais pia akina seif shariff hamad na hamad rashid mohamed ambao leo wamegeukana wao kwa wao.
 
Wote wanaunga mkono kufukuzwa uanachama.
NAPE hatoi jibu la mawazo mbadala zaidi ya suluhisho la mgombea binafsi.
Mdau kupitia simu anatoa data za kumuumbua NAPE kwa ushahidi.
 
Nape anajaribu ku-assert dhamira ya chama chake kufukuza watuhumiwa wa ufisadi na kwamba ingawa zoezi litachukua muda but hatimaye litatekelezwa - sijui anapata wapi authority ya kutoa msimamo huo maana hii issue inaweza ku-backfire in his face kama watoaji maamuzi hatimaye ni watu wengine ambao hawana dhamira ya dhati ya kufanya hivyo
 
Nape anajaribu ku-assert dhamira ya chama chake kufukuza watuhumiwa wa ufisadi na kwamba ingawa zoezi litachukua muda but hatimaye litatekelezwa - sijui anapata wapi authority ya kutoa msimamo huo maana hii issue inaweza ku-backfire in his face kama watoaji maamuzi hatimaye ni watu wengine ambao hawana dhamira ya dhati ya kufanya hivyo


Hajui kucheza na hali ya chama chake.
 
Great thinkers siamini tulipofika mvuto wa fulani unatupeleka wapi? tujadili kile kinachozungumzwa, tofauti za kiitikadi zisitutoe kwenye mjadala.
Honestly katiba ina mapungufu mengi, ni vyema haya yanayojadiliwa tukayapa nafasi ktk katiba mpya
Tuyape nafasi kwani tuna nguvu, labda mwambie kikwete maana yeye ameamua kukumbatia mchakato ili aweke anayotaka yeye. Hopeless ccm!!!
 
mwaka 1968 mwl nyerere alifukuza watu 7 waliokuwa wanahoji kwanini chama kiwe juu ya Bunge? waziri mkuu alikuwa kawawa. Tanu walikaa kikao Tanga wakafukuzwa watu. anasema mnyika. Mia
duh...wakati huo chama kweli kilikuwa kimeshika hatamu.
 
kwakweli, kipima joto cha leo kiko njema; kila mjumbe anajitahidi kujenga na kutetea hoja kwakweli.
 
sasa mnyika umekuwa katibu wa ccm? Au umemaliza point, maana umebez sana na mambo ya ccm au unatambua kuwa ccm ni jembe?
 
Back
Top Bottom