Elections 2010 Mnyika na wanachuo UDSM

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,442
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
 
eti ehee ndo maana Chama Cha Majambazi wakaamua kuji-shoot on the foot na kuwaacha likizoni....
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

$#$%^^%@@@#$%^*(*&^%$#@
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
Tayari mmekwisha anza!
 
wanachuo wote tunamsapoti mnyika coz ni product ya chuoni kwetu so nadhani tungekuepo ushindi nungekua wa kishindo zaidi asikudanganye mtu,na sababu kubwa ya kupewa likizo ndefu ipo kisiasa especialy kutokana na support ya wanachuo kwa chadema srikali ikaona bora watupe likizo ili tusipigie chadema kura
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

Acha pumba zako wanaUDSM wanamkubali si kawaida, mimi nimepigia kura pale Primary nimetokea nyumabni maana nilijiandikisha nkurumah enzi hizo, nalikuta wanafunzi wanaokuja kufanya SUP wengi wamempa mnyika, Sasa wewe pumba zako unazitoa wapi??
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

haya mambo ya nge nge,inge,inasemekana...yapelekeni kwenye vijiwe vyenu vya kahawa.Mtu kashinda kwa kura kibao,wewe umebaki nge nge,kwa utafiti gani umejua kuwa kama hao wanachuo wangekuwepo wasingempigia mnyika?
 
asante golder, mweleze chimpumu huyo, binafsi sikubadili jimbo kwa sababu ya kijana huyu.
Waliichelewesha nafasi Yake 2005.
 
Haya mama ezan, jidanganyeni! kamwe mkaa na chokaa haviwezi kufanana. Mwananchi akiambiwa achague Chokaa ataiona tu, hata kama utaificha nyuma ya mkaa! Kwa taarifa yenu nyie Chi-Chi-Muizi, hao mliokataa wasije kupiga kura ndio waliongoza mabadiliko huko vijijini mlikowatupa! Mlikuwa mnafanya haraka kumwaga ugali mkajikuta mmemwaga na mboga! Mnahangaika kukaba jimbo la Ubungo, mmepoteza nyamagana, ilemela, iringa mjini, Arusha mjini na mbeya mjini. Mpo? Mliona ile nyomi ya vijana?Mlidhani imetoka wapi? Mliona walivyojitokeza kupiga kura? Mlidhani watakuwa washabiki tu kila siku? Someni alama za nyakati kwamba sasa ni dunia ya mabadiliko, na vijana wanataka kuongoza leo. Kwa kuanzia tumewatumia vijana wa kutosha bungeni kkutokana na uchaguzi huu, some more to come ifikapo 2015, baada ya hapa tunaanda operesheni sangara kama kumi hivi nchi nzima, tuone 2015 kama mtafua dafu! Na ole wenu mdondokaji wenu ateue mawaziri maswahiba wake wasio na weledi muone, kama angalizo imu yetu imejipanga mjengoni ikiongozwa na Tundu Lissu.....KAA CHINJO........!:hippie:
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
Aisee!
You are veri intelligent my friend!
 
Huyu EZAN ni jitu, mdudu au kitu gani mbona kufikiri kwake ni kwa kinyume???????
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

Unaweza kututajia jimbo japo moja tu ambalo woooote waliojiandikisha kupiga kura walipiga kura. Tuache wivu wa kitoto, Mnyika na wengine woote walioshinda ubunge au udiwani kwa uhalali wanasitahili kupongezwa
 
bahati yao hawapo wanafunzi kwani angalia tu kura za awali Chuo, ni balaa na hii ni waalimu na wanafunzi waliojitosa kurudi kwani hata waalimu wengi wako likizo
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

Kwa taarifa yako 95% ya kura zote zilizopigwa UDSM zimeenda kwa Mnyika na Dr. Slaa
 
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote

wee unafiiiii........r.......w...........a nini??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom