Chadema Mmewasusa wapiga kura wenu wa Salasala na Kinzudi Majengo kata ya Goba.
Hebu oneni shida wanazozipata wananchi walio pigia kura chadema
Hakuna wa kulinganisha Na Halima .Wewe subiri tu, hasa @halimamdee, huku BunjuB sokoni katutupa kabisa, yeye kutukanana tu bungeni, hatumuelewi, sasa sijuwi kasahau anamuakilisha nani kule?! Wakipata uongozi hawa watu wanawehuka kabisa aise...
Huna akili mbunge pesa atapata wapi? Hiyo sio kazi yake ni kazi ya serikali, tumia akiliNipo Bunju A maeneo ya usalama mbaka sasa sielewi mbunge wa Bunju ni nani ( Bunju ipo wilaya ya UBUNGO Halima yupo wilaya ya kinondoni kura wananchi wa Bunju tulimpigia Halima ina maana Bunju aina mbunge mbaka hivi sasa.
Chadema Mmewasusa wapiga kura wenu wa Salasala na Kinzudi Majengo kata ya Goba.
Hebu oneni shida wanazozipata wananchi walio pigia kura chadema
Halmashauri ya Ubungo ipo chini ya CDM, meya mashavu aka meya Boniface Jacob kutwa kucha kazi kuongelea mambo ya udaku udaku tu, hakuna kazi yake anayofanya, hawa wajinga wamepandisha hadi kodi ya maegesho, yaani ni kama mchwa vile halafu watakuambia hawana pesa wao.Kiufupi..kuna wananchii wenye IQ ndogo sana..
Badala ya kuhainisha changamoto zenu maeneo husika mnakuja kulalama humu..
Kazi ya kujenga miundo mbinu haifanyi na mbunge/muwakilishi bali ni Serkali yako..
Chadema Mmewasusa wapiga kura wenu wa Salasala na Kinzudi Majengo kata ya Goba.
Hebu oneni shida wanazozipata wananchi walio pigia kura chadema