Mnyika: Mwenyekiti Freeman Mbowe ni buheri wa afya, Wananchi msiwe na wasiwasi Wakili ameongea naye

Siasa siyo uadui bwashee!
Ni wapi nilipoandika "uadui"?
Hata hivyo, akina Lissu wanapocharazwa 38 huku nyinyi mnashangilia, bado unaona hakuna uadui hapo?

Mbowe ananyimwa haki yake, huku mkikejeli, halafu unakuja hapa na kutapika "Siasa siyo uadui"?

Unayo akili timamu wewe?
 
Usipoteze muda na mateja mkuu
 
Ni wapi nilipoandika "uadui"?
Hata hivyo, akina Lissu wanapocharazwa 38 huku nyinyi mnashangilia, bado unaona hakuna uadui hapo?

Mbowe ananyimwa haki yake, huku mkikejeli, halafu unakuja hapa na kutapika "Siasa siyo uadui"?

Unayo akili timamu wewe?
Mbowe kanyimwa haki gani meku?
 
Suluhiisho rahisi ilikuwa magereza kuamua ni watu wangapi wamuone kwa niaba ya wengine.
It's that simple
Chadema waache siasa koko katika utaratibu husika.....

Hivi Magerezani hakuna utaratibu wa kuwaona walioko rumande?!!!

Mbona hata UAMSHO walikuwa wanataka kujazana kuwaona wapendwa wao na baada ya kuelezwa utaratibu WALIELEWA?!!!

Hivi Mbowe alipokuwa amelazwa hospitali ,hawa CHADEMA zaidi ya 500 walikuwa wanajiingilia tu wodini?!!!
Hivi walikuwa wanajazana tu mule hospitali?!!!

CHADEMA ACHENI SIASA KOKO
 
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amesema baada ya wananchi kuzuiwa kumuona mwenyekiti Freeman Mbowe gerezani leo alimtuma wakili wake akaonane naye.

Wakili amemuona mwenyekiti ni mzima na buheri wa afya Magereza watafute sababu nyingine za kueleza kwanini wameleta polisi kuzuia watu kumuona Mbowe.

Happy Saturday!
alaaniwe ushhungi na uzao wake, afe kama Jiwe
 
Chadema waache siasa koko katika utaratibu husika.....

Hivi Magerezani hakuna utaratibu wa kuwaona walioko rumande?!!!

Mbona hata UAMSHO walikuwa wanataka kujazana kuwaona wapendwa wao na baada ya kuelezwa utaratibu WALIELEWA?!!!

Hivi Mbowe alipokuwa amelazwa hospitali ,hawa CHADEMA zaidi ya 500 walikuwa wanajiingilia tu wodini?!!!
Hivi walikuwa wanajazana tu mule hospitali?!!!

CHADEMA ACHENI SIASA KOKO
CCM ndiyo wenye siasa za kishenzi za kutegemea bunduki na mabomu ya polisi. CCM ni genge la kihalifu tu kama Bokoharam
 
CCM ndiyo wenye siasa za kishenzi za kutegemea bunduki na mabomu ya polisi. CCM ni genge la kihalifu tu kama Bokoharam
CCM ni chama makini kinachoongoza taifa hili la kipekee....

Upekee wa taifa hili ...historia yake ya kipekee hupelekea mambo mengi kufanyika KULILINDA....

Hivi CHAMA CHA SIASA kinachotengeneza SABABU na matukio ya kutumia NGUVU YA UMMA dhidi ya dola tulivu hakiwezi kikaitwa BOKO HARAM?!! Si ndio eee?!!!

Endelea kujikaririsha "uhobobo" 🤣🤣
 
Ati kutomwona Mh. Mbowe ni maelekezo toka juu...juu wapi ya mnazi ama?

Mambo mengine wanayofanya CCM yanakera saana.
 
Ahante kwa taarifa...

Kuna kipindi jamaa fulani alisema hivi hivi, kumbe mtu hatunae tena...
 
Umeongea ukweli, siyo 200 tu, hata watu 10 ni wengi sana, magereza kuna kila aina ya majambazi, siyo Mbowe peke yake yupo mle, wanaweza kutake advantage ya hekaheka ya watu wengi mle ndani wakafanya yao!

Hata kwa usalama wake Mbowe tu siyo sahihi kwa kila mtu kwenda kumsalimia! Inatosha akitembelewa na ndugu zake, mawakili, viongozi wa chama chake na vyama vingine vya siasa, viongozi wa taasisi mbalimbali, na viongozi wa dini!! Lakini kwa sasa hata Mmawia naye anataka atoke Masasi kwake aje amuone Mbowe Segerea
Tatizo Anapendwa sana Mbowe. Sema uhalisia na mazingira hayaruhusu. Huu ni ukweli.
 
ama kweli uhalifu haulipi.
hakuna anayependa kukaa magereza ila ukitenda uhalifu unastahili kukaa huko...unatengwa na jamii.
tuache uhalifu.
 
Back
Top Bottom