Mnyika mbunge wetu gesi ya ubungo itatumaliza pliz help us | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika mbunge wetu gesi ya ubungo itatumaliza pliz help us

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by giningi, Jul 9, 2011.

 1. giningi

  giningi Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ilikuwa ni siku kama nne zilizopita nikiwa pale ubungo natoka katika mihangaiko ya kusaka mahela mara gesi ikaanza kumwagika kwa kasi kuelekea juu kutoka kwenye matanki makubwa ndipo watu tulipoanza kukimbia ovyo kujiokoa na hali hii ilichukua muda mrefu na ilitutia hofu sana.

  Kwa upande wangu sijasome mambo ya umeme na sijui lolote lakini waungwana mnasemaje kuhusu haya matanki makubwa ya gesi hapa ubungo hivi kuna usalama kweli au wanasubiri tufe ndo wachukue hatua, naona kama ni kiwanda ambacho kilistahili kukaa mbali na mji.

  Mbunge wetu mnyika nakuomba tusaidie tunaishi kwa hofu sana.
   
Loading...