Mnyika, Lisu na chadema presha ya nini juu ya kamati ya Nchimbi

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
260
60
Yawezekana mnajua mlichofanya juu ya kifo cha Mwangos ndio mana presha inawapanda. Mnyika leo rais uliemsema dhaifu ndio unapendekeza aunde tume, msiwe kama nyani tazameni nyuma
 
Kwan rais ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kuunda tume?
 
Hata kama ni dhaifu, aunde tu Tume dhaifu ili watoe taarifa dhaifu na 2015 ndio uwe mwisho wa dhaifu!
 
Dah CCM bana kila siku ni Afadhali ya Jana
Well said Mkuu,
Lahaula; kumbe sikuwa nikifahamu kuwa mwana CCM ni lazima uwe dakika tatu nyuma! Mzee umerudi lini toka matibabu kule Mirembe? Mbona wamekuruhusu ukiwa bado hujapata nafuu sana? Ona sasa unapayuka, dunia inakushangaa!!!
Kikwete mwenyewe anaujua udhaifu wake, na hajapinga hadharani kwamba ni kinyume cha hivyo, sasa wewe ni nani kumsemea?
 
Yawezekana mnajua mlichofanya juu ya kifo cha mwangos ndio mana presha inawapanda.mnyika leo rais uliemsema dhaif ndio unapendekeza aunde tume,msiwe kama nyan tazamen nyuma

Jifunze kuandika, hata title ya thread yako tu waliokutuma wameshindwa kukusaidia?!
Vipi huongozi tena maandamano mkuu? Peleka thread hii kule JF Chit-Chat.
 
Well said Mkuu,
Lahaula; kumbe sikuwa nikifahamu kuwa mwana CCM ni lazima uwe dakika tatu nyuma! Mzee umerudi lini toka matibabu kule Mirembe? Mbona wamekuruhusu ukiwa bado hujapata nafuu sana? Ona sasa unapayuka, dunia inakushangaa!!!
Kikwete mwenyewe anaujua udhaifu wake, na hajapinga hadharani kwamba ni kinyume cha hivyo, sasa wewe ni nani kumsemea?

mkuu hawa ccm kinyesi sana.
 
Back
Top Bottom