Mnyika Kwishney, awasilisha ushahidi mwepesi na kwa sasa asubiri huruma ya spika tu

Well said, ndio nasema ni aibu kwake, wana ubungo, wabunge vijana, cdm nk

He has commited a political suicide!

loading_lg.gif

loading_lg.gif

WANAJIAIBISHA WENYEVITI NA SPIKA KWA KUTOKUWA FAIR KWA UPINZANI, WENGINE WAKITUKANA NA KUSEMA HAWAOMBWI KULETA USHAHIDI.....!! Eng Stellah Manyanya aliyosema na nidhamu ile inakubaika tuwe fair katika haya maswala na tusonge mbele.
 
Kama tanzania ingekuwa na uwazi na demokrasia ya kweli.Mwigulu angepaswa awe ameshajiuzulu kuruhusu uchunguzi wa kina ufanyike na hiyo ndo maana MH Mnyika ana sema kwamba bado ana tuhuma za kujibu
 
huyu mtu anaonekana anachuki binafsi na mnyika maana anakomaa kuleta thread zake za kike hapa kuhusu mnyika utafikiri kamchukulia demu wake. maana anajigeuza yeye ndio msemaji wa bunge, mbona atuhambii ushahidi wa akina lema kama umeshafanyiwa kazi?

hawa si ndio wale waliopelekwa dodoma kwenda kummaliza, na hawatampata
 
hakuna aibu mwa ubungo atakayoipata.kwa taarifa watajisikia wana jasiri bungeni anayethubutu chama cha kijani kimeshatoa ushahidi upi na mara ngapi ukilinganisha na wapinzani?
 
Jana trh 10.07. 2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general, ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA.

Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.

My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.

Kweli Ubungo inawauma sana.
Sisi wana Ubungo Asilia, 31/10/2010 Tuliamua.Na hatujutii uamuzi sahihi tulioufanya.

Wakati mnawaza majungu na umbea dhidi ya Mh. JJ; sisi tunasonga mbele.

NGUVU YA UMMA
 
Chadema shughuli kubwa wanazojua ni mbili tu
1. Maandamano
2. Uzushi
Hilo tulishalijua labda hakupata muda wa kuandaa ushahidi wake si ametishiwa kuuwawa?

Chama
Gongo la mboto DSM

Nakubaliana na wewe Bwana chama yote usemayo ni kweli ndio maana leo waheshimiwa Mkulo, Chami, na Maige siyo mawaziri tena
 
Last edited by a moderator:
Jana trh 10.07. 2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general, ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA.

Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.

My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.

hivi wewe upo kijiweni kusubiri Mnyika atwasilisha nini...wewe ni mbunge au kiongozi wa bunge?.... hizo bulabulaaaaaaaaaaa umeziiiba wapi kama siyo kutumika kwako na njaa zako za jadi/za kurithi nina kazi ya kudumu lete cv yako niipitie.
 
Jana trh 10.07. 2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya ......................................

Dume la Mbegu

Evidence ya Mnyika umeisoma? Nadhani hujaisoma kwa kuwa kama ungekuwa umeisoma ungeiweka hapa. Sasa kwa maneno uliyoandika ni kuwa umetoa hukumu bila kuwa na evidence. Wewe ni hakimu wa namna gani unayetoa hukumu bila kuwa na vidhiti? Si vyema kufikiri kwa kutumia kiwiwili chako,tumia kichwa. Hiyo itakupa heshima zaidi. Maeneo ya kutumia kiwiliwili yapo chugu nzima, ni vyema ukashiriki huko
 
Hivi we unamuona mjanja kwa kuwa anapayuka hovyo mjengoni?

Kumbe wabunge wa CDM wanapoikosoa serikali ya kifisadi wanapayuka? Vipi kuhusu Stela manyanya, Nchemba na aliyekuwa mwenyekiti wa bunge siku stella manyanya aliposema CDM inahusika na uteswaji wa dr. ulimboka? na mwenyekiti aliposema unawashwa ni sahihi? Time will come for truth to stand

System at work acha kuwa biased kiasi hicho. Embu kuwa mkweli. Hivi ni sahihi wabunge kukaa Dodoma miezi miwili wanapitisha kila linalowasilishwa na serikali bila marekebisho yoyote? Wanapochangia utwaona wanalalamika ishara kuwa hawaridhiki, mwishoni utasikia naunga mkono hoja asilimia 100.
 
Majibu kama haya ndio aliyoyatoa Mnyika, na ndio tunasema majibu mepesiiiii, yeye aliambiwa atoe ushahidi directly unaomuhusu personally Mwigulu, huu ushahidi km wako ni wa kuunga unga , ndio nasema ni huruma tu ya spika ndio inayotarajiwa

ooh sorry, kumbe wewe ndo ktk wale wenye kungojea mpaka goli la 3 ndo umkamate, madai yako eti ulikuwa unangoja uthibitisho ilihali ushaapakuliwa ee... Silly Gambaz ... Narrow minded... Simple Chama Cha Mabwepande kilichota fedha za EPA kupitia KAGODA.... Nchemba Mapovu yanamtoka kila kukicha kwakuwa anajua kuwa Fedha anazozitunza ni za EPA!... Ukitaka ushahidi zaidi kamuulize mamako kama wewe ni mtoto wa jirani au wa shamba boy wenu thats it...
 
ushahidi gani, mna bunge nyie au genge la ccm, tena ningemshauri hata asingepeleka chochote kabisaa, kwani Lema alipeleka kuhakikisha uongo wa Waziri Mkuu hatua gani zilichukuliwa?

hii nchi imekwisha, believe me ccm hawawezi kuongoza tena. sasa imebaki kutishana tu, kila mmoja ni mwana usalama wa taifa --wazee wa kutoa meno bila ganzi.
 
Mchemba ana husika pasi na shaka , yeye ni mweka hazina wa magamba lazima kwenye akiba yao kuna masalio ya epa, meremeta , kagoda na ufisadi mwingi tu.
 
Mnyika siyo dhaifu, ndiyo maana ana gut ya kuita, mimi nina ushaidi kuhusu mwigulu Nchemba kwanza nikisimama mahakamani anashushiwa mvua nyingi tu nina signature zake nyingi tu za kupokea fedha za epa
Mwizi mkubwa sana
 
Back
Top Bottom