Mnyika kufunga kampeni Vijibweni/Kigamboni kwa kishindo, CCM waikimbia kata

Kila kitu chenye mwanzo hakikosi mwisho, CCM ilipotoka ni mbali inapoelekea ni karibu, sioni sababu za kushindwa na ccm kwenye uchaguzi huu wa udiwani, wala sijawahi kufikiria kuwa ccm na mbinu zao za miaka hamsini wataweza kusimama na kushinda. Tumejipanga tunajiamini na tunaweza.
 
Kila sababu za kushinda mnazo, hakikisheni mnapata mawakala wazuri wasiyonunulika hakika mtafikia lengo lenu la ushindi, mkishindwa kujipanga juu ya mawakala imekula kwenu, hapo ndipo ushindi wa ccm ulipo.
 
.......HIZI post za chaguzi huandikwa kwa mbwembwe nyingi ila huishia siku ya mwisho wa kampeni......baada ya hapo hatuwaoni, 24/7 mpo mitandaoni wakati wenzenu 24/7 wapo field....
......KISHINDO......
then baadaye tunakusa connection ya kilichoandikwa na matokeo halisi...... JE HUWA MNATUDANGANYA??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom