Mnyika kapotelea wapi?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,168
Najiuliza tu, wajameni!
Yule kijana machachari kutoa hoja zilizojipanga foleni, Johm Mnyika, yuko wapi?

Nani kamfunika tena!
 
Siasa si mchezo!
Mnyika na Mbowe hawaivi kwa sasa.
Tatizo ni gia za angani zilizombeba Lowassa.
Kwa CHADEMA Asilia EL bado ni fisadi.
 
Ninyi ni kama ile najisi imtokayo mtu akienda haja kubwa!
Mgeheshimika zaidi kama mgeleta jibu linaloendana na mtu aliyeenda shule!

Mzee Maso nakubaliana na mada maana tumepigwa bao na watu hawajui cha kuongea, lakini hilo la najisi.......mmmmmm.......below the belt mkuu!
 
Kwa sasa ndie think tank ya cdm......wakimpoteza huyu ndio basi tena
 
Back
Top Bottom