Mnyika, Jafo & Sungusia wamekuwa ndio vyama vya wafanyakazi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika, Jafo & Sungusia wamekuwa ndio vyama vya wafanyakazi Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kwamtoro, Oct 31, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli inasikitisha sana kwa dhuluma ya waziwazi inayofanywa na vyama vya wafanyakazi kwa kuchukua michango kila mwezi huku yakiwa yamekaa kimya kwa kutopigania vilio na majonzi ya wanachama wao katika mchakato wa fao la kujitoa. Kidogo nawapongeza chama cha wafanyakazi wa migodini kwa kuonyesha wanaweza.

  Je kwa Tanzania, Vyama vya wafanyakazi ni mali ya serikali au wananchi? Je kuna ulazima wa hivi vyama kuwepo?
   
 2. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanachukua pesa zetu za bure, hakuna wanachokifanya.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  SIoni kabsaa ulazima wa kuwepo, kwanza vipo km havipo kabsaaa
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanakula pesa zetu bure hawa, hawana lolote
   
 5. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Ya wezekana majukumu ya hivi vyama ni kumtetea mfanyakazi moja moja sio kwa wingi wao. Au walisha chukua chao mapema na kuwaacha wafanyakazi kwenye mataaa wakijitetea wenyewe. Nchi ya kitu kidogo hii usishangae. Asilimia 10 unaangamiza taifa.
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Vyama vya wafanyakazi kwa Tanzania ni ajira ya makatibu. Labda chama kinachoonekana kipo hai ni CWT.
   
 7. kapumbiti kapumye

  kapumbiti kapumye Senior Member

  #7
  May 2, 2015
  Joined: Oct 8, 2014
  Messages: 166
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mim na CWT tu,
  hiki Chama Cha Waalim Tanzania ni sawa na hakuna
   
Loading...