Mnyika hizo kambi za kufundishwa umafia hata mvomero zipo

Gazeti hilo ni la CDM ni kama Uhuru au Mzalendo ya CCM katu hayawezi kwenda kinyume na vyama vyao. mnyika hawezi kurely kwenye Tanzania Daima kwani no judge shall be a judge in his own cause. By the way, magazeti ya siku hizi yanaandika kile mmiliki anachotaka. Mf. utakuta heading inaweza kuongoza katika magazeti hata sita lakini habari hiyo usiikute ktk magazeti mmengine, sababu haiendani na policy ya mmiliki.
 
Sikudhani kama wewe ni mtoto kiasi hiki!

Nimekuwa nikishtushwa sana na Muheshimiwa mbunge wetu Mnyika mara nyingi amekuwa akiegemea sana kwenye habari za magazeti too much na huwa inaeleweka ya kwamba magazeti huwa yanachakachua sana habari, kuna siku Mheshimiwa JUMA NKAMIA Mbunge wa CCM aliwahi kumwambia kwamba Nchi haiendeshwi na vyombo vya habari au magazeti hivyo namsihi huyu muheshimiwa aache hio tabia ya kuegemea magazeti kwa vile hata watu wa magazeti huwa na ajenda zao naomba ujifunze kutoka kwa maneno ya JUMA NKAMIA aliyokwamia Bungeni
Pg.3.JPG
 
Duuh yan umefanya utafiti kabisa haukugundua au umetoka kwenu pale ukuona kitu basi ukajua hakuna kitu kinachoendelea?

Yan katika wavivu wa kufikiri we ni champion! Hahahaha

acha uzushi wewe, nimetoka huko juzi sijaona kitu kama hicho acheni kujengea hofu wananchi bila sababu yoyote ya msingi.
 
Nimekuwa nikishtushwa sana na Muheshimiwa mbunge wetu Mnyika mara nyingi amekuwa akiegemea sana kwenye habari za magazeti too much na huwa inaeleweka ya kwamba magazeti huwa yanachakachua sana habari, kuna siku Mheshimiwa JUMA NKAMIA Mbunge wa CCM aliwahi kumwambia kwamba Nchi haiendeshwi na vyombo vya habari au magazeti hivyo namsihi huyu muheshimiwa aache hio tabia ya kuegemea magazeti kwa vile hata watu wa magazeti huwa na ajenda zao naomba ujifunze kutoka kwa maneno ya JUMA NKAMIA aliyokwamia Bungeni
Pg.3.JPG

Usikurupuke,anapotumia kielelezo haina maana kwamba ndiyo mwisho wa ushahidi,kama una ndoa na Nkamia mpelekee akukune maana huu ndio muda wa kutunga mimba.
 
Nimekuwa nikishtushwa sana na Muheshimiwa mbunge wetu Mnyika mara nyingi amekuwa akiegemea sana kwenye habari za magazeti too much na huwa inaeleweka ya kwamba magazeti huwa yanachakachua sana habari, kuna siku Mheshimiwa JUMA NKAMIA Mbunge wa CCM aliwahi kumwambia kwamba Nchi haiendeshwi na vyombo vya habari au magazeti hivyo namsihi huyu muheshimiwa aache hio tabia ya kuegemea magazeti kwa vile hata watu wa magazeti huwa na ajenda zao naomba ujifunze kutoka kwa maneno ya JUMA NKAMIA aliyokwamia Bungeni
Pg.3.JPG

Magazeti ni uongo , na hiyo picha hapo ni photo shop????
 
Bora hata ungejiita pepopunda maana ndio jina unalositahili! Juma Nkamia na utupu wake wa akili, wewe umeona ni mtu wa kusikilizwa?Pole sana.

Ukimuona mtu anamtumia Juma Nkamia kama mfano wa kuigwa kwake basi huna haja tena ya kumpima akili!
 
Hilo gazeti aliloshika Mnyika ninaliogopa hata kufungia nyanya.
Unaliogopa kwa sababu wewe ni fisadi kama sio wa mali za watanzania basi ni fisadi wa fikra na mawazo ya watanzania.
 
Nimekuwa nikishtushwa sana na Muheshimiwa mbunge wetu Mnyika mara nyingi amekuwa akiegemea sana kwenye habari za magazeti too much na huwa inaeleweka ya kwamba magazeti huwa yanachakachua sana habari, kuna siku Mheshimiwa JUMA NKAMIA Mbunge wa CCM aliwahi kumwambia kwamba Nchi haiendeshwi na vyombo vya habari au magazeti hivyo namsihi huyu muheshimiwa aache hio tabia ya kuegemea magazeti kwa vile hata watu wa magazeti huwa na ajenda zao naomba ujifunze kutoka kwa maneno ya JUMA NKAMIA aliyokwamia Bungeni
Pg.3.JPG

Hebu mwangalie vizuri mnyika kwenye hiyo picha anapoint nini! Hapi mnyika hasomi gazeti bali anapoint hiyo picha kuonesha ukatili mnaofanya kupitia hao policcm, je hiyo picha inapotosha? Isingekuwa hizo picha ambazo zimepigwa na hao waandishi wa magazeti leo mngekuwa mnazungumzia chadema waua mwandishi kwa bomu, lakini mungu kawaumbua, mauaji ya morogoro mlifanikisha lakini haya mungu kawaanika bila nguo
 
Back
Top Bottom