Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 199
kutokana na hujuma zinazoonekana kufanywa na tume ya uchaguzi kwenye matokeo ya urais, mhe john john mnyika mbunge mteule wa jimbo la ubungo na naibu katibu mkuu wa chadema tunakuomba uhamishie tallying team yako kwenye matokeo ya uraisi ili chama kiweze kuwa na hesabu zake za kura dr slaa.
Naamini kuwa timu kama hiyo ipo lakini tunakuomba uiongezee nguvu ili kukidhi kiu ya mashabiki wa chadema katika kipindi hiki muhimu.
Naamini kuwa timu kama hiyo ipo lakini tunakuomba uiongezee nguvu ili kukidhi kiu ya mashabiki wa chadema katika kipindi hiki muhimu.