Elections 2010 Mnyika hamishia tallying team yako kwenye kura za urais

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
kutokana na hujuma zinazoonekana kufanywa na tume ya uchaguzi kwenye matokeo ya urais, mhe john john mnyika mbunge mteule wa jimbo la ubungo na naibu katibu mkuu wa chadema tunakuomba uhamishie tallying team yako kwenye matokeo ya uraisi ili chama kiweze kuwa na hesabu zake za kura dr slaa.

Naamini kuwa timu kama hiyo ipo lakini tunakuomba uiongezee nguvu ili kukidhi kiu ya mashabiki wa chadema
katika kipindi hiki muhimu.
 
This is very important to all wakalas wa CHADEMA country wide. Wasibweteke na ushindi wa wabunge wakasahau ngwe ya urais!!!

Good idea/
 
Hii ni ya muhimu sana kwa mikoa yote. Ikiwezekana wekeni hizo data zisizo rasmi tayari ili later wadau wote waweze kufananisha na zile ambazo tume watatoa.
 
tuatayakubali matokeo ya kweli tuu, tunaomba fomu za matokeo ya majimbo yote zikusanywe na kuhakikiwa ili ku;inganisha za NEC
 
Back
Top Bottom