Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

Hapo ndio wananchi tunapokosea. Vema kufuatilia na kujua kazi za Mbunge. Wanaohusika na maji ni DAWASCO na barabara ni Halmashauri (au TANROADS kwa baadhi ya barabara kubwa). Anayetakiwa kuwafuatilia hao ni Mkuu wa Wilaya au Mkurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya. Ikishindikana kabisa Mkuu wa Mkoa. Serikali ndio ina nyenzo ya kutatua kero hizo. Kazi ya Mbunge ni kuwawakilisha, kuisimamia serikali, shughuli za bungeni n.k. Mnyika ni Mbunge mzuri, naamini pamoja na kuwa hilo sio jukumu lake lakini akilipata atajitolea kufuatilia.
Nadhani wewe ndiyo unaekosea.
Mbunge na madiwani/meya ni wawakilishi wa wananchi. Kwa hiyo mwananchi hamkabi DC au RC.... hao hukabwa na PM/Rais.
Sisi tunawakaba madiwani na wabunge. Ma-DC na RC hawatuwakilishi wananchi, wanawakilisha serikali kuu. Sasa kama unataka wananchi tuikabe central government, kuna haja gani ya kuwa na representatives?
 
Hapo ndio wananchi tunapokosea. Vema kufuatilia na kujua kazi za Mbunge. Wanaohusika na maji ni DAWASCO na barabara ni Halmashauri (au TANROADS kwa baadhi ya barabara kubwa). Anayetakiwa kuwafuatilia hao ni Mkuu wa Wilaya au Mkurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya. Ikishindikana kabisa Mkuu wa Mkoa. Serikali ndio ina nyenzo ya kutatua kero hizo. Kazi ya Mbunge ni kuwawakilisha, kuisimamia serikali, shughuli za bungeni n.k. Mnyika ni Mbunge mzuri, naamini pamoja na kuwa hilo sio jukumu lake lakini akilipata atajitolea kufuatilia.

Mkuu jielimishe utendaji wa kazi wa mamlaka mbalimbali ndio uje kuchangia. Usichangie kama huna hakina na unachokisema. Unapotosha!
 
Kwani Umeambiwa Mnyika anafanya kazi Dawasco? Kama Dawasco wameshindwa Kazi Mpeni Mnyika Plan "B" AKASISIMAMIE BUNGENI!! NDIO MAANA YA KAZI YA MWAKILISHI
 
JJ NAKUAMINI NA NAAMINI UWEZO WAKO,LAKINI NDUGU YANGU UMEJISAHAU SANA NA SASA UNAFIKIRI UMECHAGULIWA NA CHAMA BADALA YA WANANCHI SIKILIZA
-WAKATI WANA UBUNGE WAKILIA HAKUNA MAJI WEWE UKO TANGA UNATETEA ZAO LA MKONGE
-WAKATI WANA UBUNGO WAKILIA BARABARA MBOVU WEWE UKO UJERUMANI UNAJENGA CHAMA
-WAKATI UBUNGO HAKUNA ZAHANATI ZA KUTOSHA WEWE UKO UZINI UNAAHIDI ZAHANATI
-WAKATI UBUNGO FOLENI NI KUU WEWE UKO KIGAMBONI UNAGOMBANA NA WAKUU WA ILALA KUHUSU NAULI ZA VIVUKO
NA MENGINE MENGI

braza watch out 2015 is very close u may loose,na itakuwa aibu kubwa kwako na kwa chama chetu
 
Hebu tueleze wewe mwenyewe mtoa hoja uko wapi na umefanya nini kuondoa hizi kero? Mbunge anahitaji nguvu ya wananchi ambao ni pamoja na wewe. Sisi wanaubungo tunampongeza Mnyika kwa kazi nzuri ambazo anazifanya so far. Issue ya maji ameshughulika nayo sana sote tunafahamu na kikwazo ni serikali ya magamba.
 
Akiyafanya haya chama chake kitashika hatamu na kupata pesa ya kukujengea hizo barabara..........otherwise atoe wapi pesa?

-WAKATI WANA UBUNGE WAKILIA HAKUNA MAJI WEWE UKO TANGA UNATETEA ZAO LA MKONGE
-WAKATI WANA UBUNGO WAKILIA BARABARA MBOVU WEWE UKO UJERUMANI UNAJENGA CHAMA
-WAKATI UBUNGO HAKUNA ZAHANATI ZA KUTOSHA WEWE UKO UZINI UNAAHIDI ZAHANATI
-WAKATI UBUNGO FOLENI NI KUU WEWE UKO KIGAMBONI UNAGOMBANA NA WAKUU WA ILALA KUHUSU NAULI ZA VIVUKO
 
JJ NAKUAMINI NA NAAMINI UWEZO WAKO,LAKINI NDUGU YANGU UMEJISAHAU SANA NA SASA UNAFIKIRI UMECHAGULIWA NA CHAMA BADALA YA WANANCHI SIKILIZA
-WAKATI WANA UBUNGE WAKILIA HAKUNA MAJI WEWE UKO TANGA UNATETEA ZAO LA MKONGE
-WAKATI WANA UBUNGO WAKILIA BARABARA MBOVU WEWE UKO UJERUMANI UNAJENGA CHAMA
-WAKATI UBUNGO HAKUNA ZAHANATI ZA KUTOSHA WEWE UKO UZINI UNAAHIDI ZAHANATI
-WAKATI UBUNGO FOLENI NI KUU WEWE UKO KIGAMBONI UNAGOMBANA NA WAKUU WA ILALA KUHUSU NAULI ZA VIVUKO
NA MENGINE MENGI

braza watch out 2015 is very close u may loose,na itakuwa aibu kubwa kwako na kwa chama chetu

Kumbe hujamjua Mnyika? hana lolote huyu bwana mdogo. Ni mbunge wa kutaka kuonekana kwenye Runinga. Akitaka kuunga mkono migomo ya madaktari amakimbilia kwenye runinga, akitaka kutoa siku saba kwa DAWASA anakimbilia kwenye runinga. Realy is MP of TV. Subiri ameshahau jinsi alivyopata tabu kwa yule mwana Mama anafikiri makosa yataridiwa tena.
 
Hili ni jembe inaonekana linawasumbua sana huko serikalini, wala hayuko mbali na wapiga kura wake hii picha ni ya jana tu ..

03_12_hxc99w.jpg
 
Hakuna Mbunge kama JJ. huo ni wivu wenye akili zao na busara zao wanamkubali MNYIKA anachofanya analipigania Taifa,ambayo hata hiyo Ubungo ni sehemu yake,
 
Kumbe hujamjua Mnyika? hana lolote huyu bwana mdogo. Ni mbunge wa kutaka kuonekana kwenye Runinga. Akitaka kuunga mkono migomo ya madaktari amakimbilia kwenye runinga, akitaka kutoa siku saba kwa DAWASA anakimbilia kwenye runinga. Realy is MP of TV. Subiri ameshahau jinsi alivyopata tabu kwa yule mwana Mama anafikiri makosa yataridiwa tena.

haelewi mimi hapa namshauri akiendelea kujisahau 2015 tutapoteza jimbo
 
NYIE ENDELEENI KUBISHA NA KUMPA KICHWA ILA KWA UKWELI NI VIGUMU SANA JJ KUSHINDA 2015 KWA HALI HII NI LAZIMA ABADILIKE AFANYE KAZI ZA WANANCHI WA UBUNGO NA ASIPOTEZE MUDA MWINGI KWENYE TV NA BLOGS

NA MASWALA YA KUJENGA CHAMA NI YA SLAA YEYE SIO MBUNGE HANA KAZI ZAIDI YA KUJENGA FAMILIA YAKE NA CHAMA

JJ ANGALIA 2015 TUNAWEZA KUKUSAHAU NA HAWA WANAONIPINGA HUMU NI WANA CCM NAWAJUA HAWATAKI KUSEMA UKWELI ILI JJ ASHINDWE

acheni hizo tumshauri mbunge wetu kwa kusema UKWELI
 
Mnyika yupo Dar na jana alikua Mbezi ktk ufunguzi wa kituo cha bus,na Magufuri mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kua Mnyika ni mchapa kazi sana,alikiri japo ni mbunge wa upinzani lakini hana budi kumsifu kwa utendaji wake,maana anawatendea haki wananchi waliomchagua!na lazima ujue hivyo vitu ulivyotaja mbunge ni mfuatiliaji tu,na serikali ndo watekelezaji,na kama ufuatiliaji na uwakilishaji wa kero za wananchi kwa serikali kusema kua Mnyika si mfuatiliaji,utakua haumtendei haki hata kidogo au utakua si mkazi wa jimbo la ubungo,sometime lazima tujifunze ku appriciate na kutoa credit pale mtu anapofanya linalostahili
 
Magamba at work,Mnyika ni Mbunge wetu na tunamkubari sana,kama swala la maji lipo wazi serikali ndiyo tatizo! We trust Mnyika! Mnyika Go,Go.
 
Tatizo ni kwamba wengi wetu tumezoea kudeka kama vifaranga. Lazima tulielie hata kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wa viongozi wetu. LEO UMEKUMBUKA KUSAFISHA MAZINGIRA YAKO? AU UNAMSUBIRI JJ AJE KUKUSAFISHIA?
 
Back
Top Bottom