Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Hivi Kumbe Magufuli ni msukuma!!!!!Inamaana Mh Magufuli (Msukuma) anatakiwa amheshimu Mnyika kama "CHIFU" wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kumbe Magufuli ni msukuma!!!!!Inamaana Mh Magufuli (Msukuma) anatakiwa amheshimu Mnyika kama "CHIFU" wake.
Wamekosa hoja wanalazimisha mnyika awe msukuma wapate njia ya kupandikiza chukiEti Mnyika anaitwa mchaga leo hivi ukiwa karibu na Mbowe ndio unakuwa mchaga?
Kupandikiza ukabila ni kufirisika kihoja.
Siasa za Tanzania bhana kuna mchaga anaitwa Mnyika?
Ukistaajabu ya Tanzania utayaona ya CCMKwa sasa kila MTU akipewa cheo chadema anaitwa mchaga, nakumbuka wakati ule Dr.slaa akiwa chadema, chama kilikuwa kinaitwa cha kikatoliki, Leo slaa yuleyule yuko ccm.
Hii habari itamyima raha jiwe,Wana MWANZA wamempokea katibu mkuu wa cdm kwa shangwe na kuweka historia kwenye mkoa huo kwa kuamua kukabidhi hadhi ya chifu wa wasukuma.
Hakika huu ni msimamo wa kujivunia sana kwa wana MWANZA na inaonyesha kuwa sasa wameanza kujua mchele ni upi na chuya ni zipi kati ya ccm na cdm. View attachment 1306446
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari itamyima raha jiwe,
Eti Mnyika anaitwa mchaga leo hivi ukiwa karibu na Mbowe ndio unakuwa mchaga?
Kupandikiza ukabila ni kufirisika kihoja.
Siasa za Tanzania bhana kuna mchaga anaitwa Mnyika?
Kwa hiyo wasukuma sasa wanatawaliwa na machifu wawili? chifu mnyika na chifu mbowe?
ona hapa mbowe akikabidhiwa uchifu wa kabila la wasukuma
Picha: Mbowe asimikwa kuwa Chifu wa Wasukuma
.... Wazee hao walisema wameamua kumsimika mwenyekiti huyo wa Chadema taifa kuwa Chifu wa Kisukuma, kutokana na Chama anacho kiongoza kimekuwa mhimili mkubwa wa kupigania maslahi ya wananchi katika kuhakikisha wanapata haki zao za msingi... Wazee wa Kisukuma wakifanya yao katika...www.jamiiforums.com
Tena hao mazoba sio hata wa kuwaambia kuwa Mnyika ni msukuma wala nini, maana wanataka kuleta siasa za kipuuzi. Mimi huwa nawaambia kuwa sio kuwa ni mchanga tu, kuanzia mama yake, baba, mke mpaka na marafiki zake ni wachaga, ili wapate nafasi nzuri ya kufanya siasa majitaka.
Huu mchezo wa kuogopa hiyo kete yao ya kikabila ndio cdm waliingizwa mkenge wakamchagua Mashinji, matokeo yake akaishia kuwa domo zege. Hiyo kete yao wala watu wasiogope maana wananchi sasa hivi wanajitambua, na yule anayetaka kuinyima cdm kura kisa inasemekana Mnyika ni mchaga aiinyime tu.
Wasukuma ndio wanajipendekeza kwake yeye alishasema ni mzilankede