Mnyika Ahimiza Umma Kujitokeza Kutoa Maoni ya Katiba Jimbo la Ubungo

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
3,153
697
JOHN MNYIKA - Mbunge wa Wananchi wa Ubungo.
Shime tujitokeze kutoa maoni yetu kupata Katiba Mpya
Rejeeni mikutano ya hadhara na vikao mbalimbali ndani ya jimbo letu la Ubungo katika kata mbalimbali ambapo nilihamasisha elimu juu ya haja na hoja za mabadiliko ya katiba.

Sasa zamu ya jimbo letu imefika kutoa maoni.

Toa sasa na himiza wananchi wenzako wengine nao washiriki kutoa maoni.

Endapo utakosa fursa ya kutoa maoni yako katika mikutano na Tume ya Katiba. Hakikisha unatoa bado maoni yako kwa njia hizi: Facebook hapa:Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania | Facebook au Ingia hapa ujaze maoni yako:wanaoishi Ndani ya nchiau baruapepe: katiba@katiba.go.tz

Pia kwa watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi, huu pia ni wakati wenu wa kutoa maoni kwa kupitia: Facebook hapa: Wanaoishi Nje ya nchiau Ingia hapa ujaze maoni yako:wanaoishi Ndani ya nchiau baruapepe: katiba@katiba.go.tz



RATIBA YA MIKUTANO YA MAONI YA KATIBA JIMBO LA UBUNGO.
NA.

KATA

TAREHE

MAHALI
MUDA WA MKUTANO
KUANZA
KUMALIZA
1
KIMARA

27/11/2012
BAHAMA TRA
3:00 ASB
6:00 MCH
UBUNGO
S/MSINGI MSEWE
8:00 MCH
11: JIONI
2
KIBAMBA

28/11/2012
S/MSINGI KILUVYA
3:00 ASB
6:00 MCH
MBEZI
S/MSINGI MBEZI
8:00 MCH
11:00 JIONI
3

GOBA

02/12/2012
ZAHANATI YA GOBA
3:00 ASB
6:00 JIONI
4
KWEMBE

03/12/2012
KIBAMBA HOSPITAL
3:00 ASB
6:00 MCH
SINZA
UWANJA WA TP
8:00 MCH
11: JIONI
5

SARANGA

04/12/2012
STENDI YA BONYOKWA

8:00 MCH

11: JIONI
6

MSIGANI

05/12/2012
UWANJA WA TANESCO

3:00 ASB

6:00 JIONI
7

MANZESE

07/12/2012
UWANJA WA BAKHRESA

8:00 MCH

11: JIONI
8

MABIBO

10/12/2012
S/MSINGI MPAKANI

3:00 ASB

6:00 JIONI
9

MBURAHATI

11/12/2012
S/MSINGI MBURAHATI U/KIFA

3:00 ASB

6:00 JIONI
10
MAKUBURI

13/12/2012
U/NJIA PANDA MABIBO HOSTEL

3:00 ASB

6:00 MCH
MAKURUMLA
GOMBERO
8:00 MCH
11: JIONI

MUHIMU: naomba wananchi wakati mkituma/toa maoni yenu, mnitumie pia nakala kwa simu: 0715-37 95 42 au baruapepe:mbungeubungo@yahoo.comkwa kuratibu na kurahisisha shughuli za ufatiliaji kwani kwa mujibu wa sharia ya mabadiliko ya katiba ilivyo sasa wabunge ni wajumbe wa Bunge la Katiba hivyo napaswa kupata nakala ya maoni ya wananchi pia juu ya katiba mpya niweze kuwakilisha kwa hatua hiyo ikifika.

Pia, napaswa kupata maoni yao kuhusu mchakato wa kupata katiba mpya ili niyazingatie wakati natekeleza wajibu wa kuwakilisha wananchi, kutunga sheria na kusimamia tume na serikali kwa ujumla wake ili nchi ipate katiba mpya na bora kwa maendeleo ya wananchi.



Maslahi ya Umma Kwanza!

John Mnyika
Mbunge Jimbo la Ubungo
 
Safi sana Mnyika wewe ni Jembe la Ukweli!!!!! Wakati wewe unatatuhamasisha sisi wapiga kura wako wenzako wa CCM wapo Peacock Hotel wanapokea Rushwa
 
Huwa nafarijika nikiona mambo ya mbunge wangu, najivunia kulinda kula usiku kucha, well done kamanda JJ
 
Maana ya UMMA ni nini.


Email |Cite |
umma

Pronunciation: /ˈʊmə/(also ummah)
Definition of umma
noun


  • the whole community of Muslims bound together by ties of religion.
Origin:

Arabic, literally 'people, community'

It was adopted in swahili.




[h=2]Origin of MUSLIM[/h]Arabic muslim, literally, one who submits (to God)First Known Use: circa 1615
 
Back
Top Bottom