Mnyika acha tamaa, Ubungo ulichemka, Kibamba unataka nini?

Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,185
154
Wananchi wengi walikulalamikia kule kuwa hukuwafanyia kitu Jimbo la Ubungo sasa sijui huko unaenda kuwaadaaa kwa lipi tena kaka? mupatapo vyeo msiwe wachoyo kufanya maendeleo katika maeneo yenu, ili mujiwekee azina hapo baadae ya kupata kura, jimbo hilo la Kibamba hutolipata maana una historia ya kushindwa kufanya maendeleo kule Ubungo.
 
Kipaumbele kiwe elimu, nimekubali. Hivi wewe hujui hata hiyo kibamba ilikuwa sehemu ya ubungo kabla ya kugawanywa!? Punga kabisa wewe
 
Huku ubungo kaondoka kwa aibu kubwa sana watu wanamwona tapeli, ni ajabu sana ila ndo ukweli Mnyika amewakatisha tamaa wengi sana tofauti na ilivyodhaniwa ..ameacha deni huku kwa familia moja, zinasemwa habari kwamba alikopeshwa pesa baada ya kuuzwa nyumba ya watu mpaka leo kashindwa kulipa na ndo maana kahama jumbo ..ameniumiza sana Mnyika kwasababu nilijiunga CDM 2007 kwasababub yake na leo anatuhuma hivi, inahaibisha sana.
 
Akili ya Mnyika ni zaidi ya wabunge 70 wa CCM......

Akili ya Mnyika ni zaidi ya Asumpta Mshana 300

Akili ya Mnyika ni zaidi ya Lusinde 400

Akili ya Mnyika ni zaidi ya Mwigulu 100....

Kwaiyo hata kama aliharibu Ubungo still kama taifa tunamhitaji ever than before

mWAMBIE AKUOE basi awe mmeo, we eleza kafanya nini UBUNGO kama huwezi basi we lofa
 
Hatukatai hilo ila ameharibu ile trust yake tuliyokuwa tukimpa .. uscheze na trust kaka, once it happens you can feel.
 
Wananchi wengi walikulalamikia kule kuwa hukuwafanyia kitu Jimbo la Ubungo sasa sijui huko unaenda kuwaadaaa kwa lipi tena kaka? mupatapo vyeo msiwe wachoyo kufanya maendeleo katika maeneo yenu, ili mujiwekee azina hapo baadae ya kupata kura, jimbo hilo la Kibamba hutolipata maana una historia ya kushindwa kufanya maendeleo kule Ubungo.

mkuu maendeleo yako utayaleta wewe mwenyewe.Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na sio mleta maendeleo yeye anakuwakilisha kule bungeni.Hvi hujui hata maana ya representative democracy
 
Kama ndivyo kwa nini ukubari kudanganywa Na CCM Ile Ile kwa ahadi zile zile kwa zaidi ya miaka 50?

jibu swali amefanya nini katika jimbo la Ubungo? CCM imefanya mengi, barabara, reli, viwanja vya ndege, elimu, afya n.k sasa nambie yeye kama Mnyika kawafanyia nini wanaUbungo?
 
mkuu maendeleo yako utayaleta wewe mwenyewe.Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na sio mleta maendeleo yeye anakuwakilisha kule bungeni.Hvi hujui hata maana ya representative democracy

Basi akae akijua huko alikoenda HAPATI KURA NG'OOOO watu wanamjua kwa ujanja wake wa kudanganya watu, ye anakipaji cha kuongea kama walicho nacho matapeli.
 
Kwani serikali ya CCM kwa miaka yote ilokaa madarakani imefanya nini mpk tuichague tena???

Barabara unayokanyaga kila siku katengeneza baba yako? Shule ulosoma kajenga baba yako? ukijibu hilo basi ntakuita sio LOFA na MPUMBAVU ukishindwa basi we LOFA na MPUMBAVU.
 
Mimi ni mkazi wa ubungo,haya mnaomshabikia mnyika tuambieni ametekeleza mangapi kati ya yale aliyotuahidi?msongee tu kwa ushabiki kwa kuwa wakazi wa huku tunazijua kero zetu za maji,barabara,madaraja,shule,zahanati, na huduma nyingine alizotuahidi hajatekeleza hata kwa 50 pacent,hatumtaki na huko kibamba ndio ataleta majanga zaidi kwa kuwa anatafuta maslahi binafsi tu badala yakututumikia wananchi
 
Acha uzushi wewe mbeba mikoba ya masaburi ubungo, buku saba mnazopewa zinawachanganya
 
Barabara gan? hizi znazopitika mwaka mmoja halafu yanakuwa makorongo???
Reli gan? hii chakavu ambayo dar mpk kigoma inachukua siku tatu afu mpk ya kule katavi mmeua???
Viwanja vya ndege vip? Morogoro kuna uwanja wa ndege?, Iringa vip upo?? International Airport hata 5 hazifiki nchi nzima???
Elimu?? Hii ya kupunguza marks za ufaulu ili kuongeza idadi ya wanaofaulu??, na hawa watt wanaokaa chini hawana madawati???
Afya?? Ipi iyo hii ya akina mama wajawazito kujifungulia chini au?, na wagonjwa kulazwa wengi kwa kitanda kimoja???

Mbona mkiwaga magamba mnapenda kujitoa akili hivi, hamna uzalendo kabisa na nchi yenu.
Eti we gamba Jay Milionea
 
Last edited by a moderator:
mWAMBIE AKUOE basi awe mmeo, we eleza kafanya nini UBUNGO kama huwezi basi we lofa

Njaa mbaya sana unajidharirisha kwa ujira wa buku 7 wananchi wa ubungo na hiyo kibamba kabla haijagawanywa tunajua Mnyika katufanyia nini na humu hamna wapiga kura mkuu njoo ubungo na kibamba utajua kubenea na mnyika uone ustawi wao hawahitaji hata kufanya kampeni ni ubishi wao tu
 
We ndo Punga, unakubalije kudanganywa na mtu yule yule KWA AHADI ZILE ZILE ?

Ni kweli kabisa, hatutakiwi kuendelea kudanganywa na ccm ile ile na kwa ahadi zile zile kwa miaka nenda rudi. Ni afadhali tudanganywe na chama kingine lakini sio kile kile.
 
Mnyika ni mnaafiki hawez kuwaaminisha watz kuwa lowassa ni fisadi na ushahidi anao halafu leo akajifanya km vile yale maneno hakuyaongea huku anamsifia hatutaki wanafiki waendelee kufumbiwa macho kibamba fungueni akili zenu acheni uxhabiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom