Mnyika aanza kutekeleza ahadi rasmi?

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,488
1,806
Wanajamii Salaam

Leo nimehakikisha kuwa kuna watu wanajua kutimiza ahadi. Huyu kijana alisema atahakikisha kuwa kero zote za AMUA=Afya, Miundo mbinu / Maji U? A? zinafanyiwa kazi haraka.

Sasa leo nimepita pale Stop over Kimara na kukuta ile kero ya siku nyingi ambayo ilishindikana leo imepatiwa utatuzi.

Kulikuwa na tuta ambalo lilikuwa likisababisha foleni, Wananchi wengi walilalamika lakini wapi, hata kuomba kuwalamba viongozi wa chama chetu ili kero hiyo ambayo ilikiuwa ndani ya uwezo wa watendaji itatuliwe bila mafanikio yeyote yale.

Leo hii tuta halipo na limeondolewa najua si SISIEMU kwani walishindwa/waligoma wakati wote; ni Kiongozi mpya.

Wale ambao hamkuchagua kiongozi bora ama mlishindwa kulinda kura zenu zikachakachuliwa mjifunze hapa wakati mwingine msifanye makosa.

Pia Wizara ya Ardhi waliokuwa wanataka kupora watu Ardhi yao eneo la Kwembe kati wajue wananchi wamepata Silaha mpya ya maangamizi. Mimi nilimchagua nikijua ni mtetezi wa watu

Aksanteni sana.
 
strong mind never fails an this shows dat tz need young politician with strong mind potential who are ready 4 everytn even death
 
Hii heading imechakachuliwa mimi niliandika tofauti Sasa mbona mmeanza kuichakachua? Question Mark Haikuwepo kabisa. Na sababu kuwa ni Mnyika nimezitoa SISIEM walishindwa tangu mwaka jana
 
Hii heading imechakachuliwa mimi niliandika tofauti Sasa mbona mmeanza kuichakachua? Question Mark Haikuwepo kabisa. Na sababu kuwa ni Mnyika nimezitoa SISIEM walishindwa tangu mwaka jana

Nafikiri mods wamefanya hivyo kwasababu hata wewe huna uhakika kama ni Mnyika kafanya hivyo au la? Ukishapata uhakika kama ni yeye wasiliana na mods waiondoe hiyo kwesheni maka.

Hata hivyo wananchi wa Ubungo, Kawe, Ilemela, Nyamagana na kwingineko mnastahili pongezi kwa kuwaondoa CCM madarakani na kuchagua damu mpya ya vijana wenye nia ya kutuletea maendeleo.
 
Mnyika hajaanza kazi za kutimiza kampeni, quite the contrary.

Leo atakuwa mgeni wa heshima katika maonyesho ya "Siku Ya Pamba," Sinza, kwa mujibu wa Mtanzania. Mtu ana majukumu makubwa na mambo muhimu ya kufuatilia lakini siku ya pili tu unaenda kwenye some stupid fashion show kuuza sura. A Halima Mdee wouldn't fall for this juvenile popularity trap.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom