Mnyama wa ajabu anaefukua makaburi na kula maiti

Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.
Watu wanaumakini mdogo sana. Yani kashindwa hata kureason kuhusu hiyo taarifa
 
Huyu mnyama yuko kwenye baadhi ya nchi za Africa na America, anapenda kufukua makaburi na kula maiti za binadamu, na amejaaliwa akili akisikia kuna mtu anakuja huamua kulia sauti ya binadamu na mtu yoyote akisikia sauti hiyo atadhani ni sauti ya maiti kaburini atakimbia mbio nyingi na mnyama huyu atabaki kumla maiti kwa raha zake.
View attachment 1181188
Hivi maiti kwanza huwa iko umbali wa futi ngapi kwenda chini ?

Akifukua kaburi huwa ana fukua sehemu ya kaburi au kaburi lote ?

Je ushawahi kuona hata tukio moja la jinsi anavyofanya kazi huyo mnyama ?

Ni wakati gani mnyama huyu huwa anasikia sauti au kuhisi ishara ya mtu kuja,akiwa ndani ya kaburi au nje au baada ya kufukua,maana kwa umbile lake ni wazi kabisa ili aipate maiti ya mwanadumu aingie ndani kabisa ?

Najiuliza tu haya maswali.

Narudi kuweka hitimisho juu ya hii habari yako.
 
Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.

Kuna wajinga wataendelea kucoment wakiamini kuwa ni kweli wakati washaeleweshwa
 
Mleta mada acha kudanganya watu. Nimeona instagram pia amepostiwa na millard Ayo na yeye pia amesema hivo hivyo kama wewe. Huyo ni alligator snapping turtle.

The alligator snapping turtle (Macrochelys temminckii) is a species of turtle in the familyChelydridae. The species is native to freshwater habitats in the United States. M. temminckii is one of the heaviest freshwater turtles in the world.
 
Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.

Kuna wajinga wataendelea kucoment wakiamini kuwa ni kweli wakati washaeleweshwa

Wanazichukulia kwa kina millard ayo wanapost bila kufanya uchunguzi kwanza 😂😂😂
 
The alligator snapping turtle (Macrochelys temminckii) is a species of turtle in the family Chelydridae. The species is native to freshwater habitats in the United States. M. temminckii is one of the heaviest freshwater turtles in the world.[3] It is often associated with, but not closely related to, the common snapping turtle, which is in the genus Chelydra. The specific epithet temminckii is in honor of Dutch zoologist Coenraad Jacob Temminck.[4][5]

Alligator snapping turtle
Alligator snapping turtle.jpg
Duuuh mkuu sasa hapa umeniuza maana shule niliosoma nilimaliza mwalimu wa English bado hajasjiriwa mkuu
 
Back
Top Bottom