Mnyama na wenzake wakiwa tayari kuelekea Kiev

Acha unafiki wa kuongea kile unachoamini kitawafurahisha watu, keep it real from the heart dude..

Umejidhalilisha kishenz...
Jukwaa zima masela wamekudharau from 100 to negative zero.
Sijui ulikua umekunywa wanzuki wakati unaandika hiyo comment.
Kila mtu anakushangaa. Acha ujinga.
Hakuna uhusiano wa shule, soka na hizo suti.
Kubali tu uliandika pumba za mtama!!!
 
Siku zote fala ni fala tu, nimekuandikia maelezo ya kutosha ili uelewe sijui umeyaruka sijui ndo umesoma alafu bichwa lako limeshindwa kupambanua, unaludia story ileile ya mike tyson nimetoa na mfano wa beckham na Cristiano kuwa awajasoma ila wameinvest na ni wafanya biashara wakubwa akili zimetofautiana, unarudia maelezo yako ya kifala, we kama msomi unapewa fact alafu unakimbilia kwenye matusi na mipasho tukusaidieje? Baki na upuuzi wako na sibishani na wewe maana nimeku calculate kichwa chako kwa maelezo yako nimekuona huna akili!
Bogus kabisa, Beckham kuwa na uwekezaji hauondoi umuhimu wa shule kwa wana michezo, jinga kabisa
 
Umejidhalilisha kishenz...
Jukwaa zima masela wamekudharau from 100 to negative zero.
Sijui ulikua umekunywa wanzuki wakati unaandika hiyo comment.
Kila mtu anakushangaa. Acha ujinga.
Hakuna uhusiano wa shule, soka na hizo suti.
Kubali tu uliandika pumba za mtama!!!
Shule haina mbadala, hilo lieweke kwanza.., ni either unayo au huna
 
Madrid msitegeme mteremko leoooo.....
Leo mnakutana na wazeee wa kukamia wazee Wabishi.....punda afe mzigo Ifike
Mkuu...[HASHTAG]#tatum[/HASHTAG]....tukutane badaye

Ova
 
Sasa hapa tulikuwa tunazungumzia soka au shule, na aliye leta maada tofauti nani tofauti na maada ya soka, Jitafakari alafu utajigundua we akili zako mbovu kiasi gani,
Hii ni open forum, wewe umeiona hio picha ukaitafsiri kwa utashi wako; na mimi kwa utashi wangu nimeona watu wakijificha kwenye kichaka cha suti, then unapanic, unapanic nini sasa, acha iwe kama nilivyoona then pita kimya kimya tu.
 
Wakati unasubili elimu yako ikutoe hapo ulipo jamaa (wasio na elimu) wanakaa meza moja na matajiri kwa kusaini mikataba minono nawe mwenye elimu (wasio na elimu) wanakupa ajira ya kubeba begi lake.
Tatizo shule baba..
 
Madrid msitegeme mteremko leoooo.....
Leo mnakutana na wazeee wa kukamia wazee Wabishi.....punda afe mzigo Ifike
Mkuu...[HASHTAG]#tatum[/HASHTAG]....tukutane badaye

Ova
Mambo vipi naona umeona mziki mkubwa wa Ramos
 
Wakati unasubili elimu yako ikutoe hapo ulipo jamaa (wasio na elimu) wanakaa meza moja na matajiri kwa kusaini mikataba minono nawe mwenye elimu (wasio na elimu) wanakupa ajira ya kubeba begi lake.
True, but hii haiondoi umuhimu wa shule kwa wanamichezo
 
Hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa kila kitu na wakati wake na mahali pake, we umekosa ata busara ya neno la Mungu.
Narudia tena kukuuliza mara ya mwisho na siyataki majibu yako na utajitafakari mwenyewe na haya maswali, Soccer na shule wapi na wapi? Na aliye kwambia suti ni kwaajili ya wasomi pekee nani?
Kiufupi usituchanganyie mambo, kama we ni msomi jukwaa la Michezo alikuhusu Nenda kwenye jukwaa la elimu huko, huku tuache watu na interest zetu za Kandanda,
Maoni yangu ndio hayo,shule haina kada, hata mcheza rede anahitaji shule.
 
Back
Top Bottom